Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ynoi8i.jpg

⚽ WAKE UP TO BOOM ON PARIPESA ⚽

📌 Kama Bado Huna Akaunti Ya PARIPESA Jiunge Leo. Bonyeza Link Hizo Hapo Chini Kujiunga Na Promo Code Weka Neno👉 TIPS2424

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

Booking Code>> T94JZ

📌 Pata Bonus Ya 250000 Bure Kwenye PariPesa Ukijiunga Na Kuweka Promo Code TIPS2424
 
VODACOM vs MAN CITY

Network imezima Karibu kutwa nzima

Aisee leo VODACOM wametuweza WIZARA ya WAKAMARIA

Ila nahisi wametaka pesa zetu ziwe salama
 
Hivi kwa tunaotumia Sportybet, hii game ya galatasalay nilimpa win, katoa draw ila mkeka bado unasoma ,hii ikoje wadau

Hizo ni error ndogo ndogo ingawa kuna wakati nao wana akili yao, kuna siku team ilikuwa inaongozwa mbili lkn odd ipo 2+ 2H nikaweka 30000 kwenye live bet ila mwisho ilipigwa 3 - 2.
 
Flashsave imeokoa mkeka., system ilishaweka win wakati game haijaisha kwa sababu uwezekano wa madogo kuchomoa ulikua ni mdogo sana.

Flash save maana yake option uliyotabiri kama tayari inaelekea kutoa yaani kuna uwezekano mdogo sana wa matokeo kuja tofauti system inakuwekea tiki mfano leo galatasaray alikua anaongoza 3-0 hakuna ambaye angeweza kufikiri kwamba izo goli zitarudi kwaiyo system ikaweka win maana yake kwenye mkeka hapo ushamalizana na mhindi uko mbeleni hata meza ikipinduka wewe haiathiri mkeka wako. Nafikiri hii ni huduma mpya sportybet wamekuja nayo.
 
Sio error ni huduma mpya jamaa wamekuja nayo, soma chini ya game ya galataray utaona kuna maneno yanasema flashsave defended your bet
IMG-20240928-WA0012.jpg
 
Flashsave imeokoa mkeka., system ilishaweka win wakati game haijaisha kwa sababu uwezekano wa madogo kuchomoa ulikua ni mdogo sana.

Flash save maana yake option uliyotabiri kama tayari inaelekea kutoa yaani kuna uwezekano mdogo sana wa matokeo kuja tofauti system inakuwekea tiki mfano leo galatasaray alikua anaongoza 3-0 hakuna ambaye angeweza kufikiri kwamba izo goli zitarudi kwaiyo system ikaweka win maana yake kwenye mkeka hapo ushamalizana na mhindi uko mbeleni hata meza ikipinduka wewe haiathiri mkeka wako. Nafikiri hii ni huduma mpya sportybet wamekuja nayo.
Thanks Mkuu, Sportybet wapewe maua yao
 
Hivi kwa tunaotumia Sportybet, hii game ya galatasalay nilimpa win, katoa draw ila mkeka bado unasoma ,hii ikoje wadau
flashwin hiyo!
akiwa anaongoza 2-0 uliyempa win wao wanatoa win mapema kabisa hata kama dk ya 20!

hiyo ni tofauti na 2UP ambayo ina odds pungufu kiduchu ya za direct win ya kawaida!
 
wiki hii nimejifunza somo kubwa sana kuhusu matreni,

last week nilisuka treni nikaweka 1000 ili itoe 190k, alibaki man utd peke yake vs twente wakanipa cashout ya 110k nikagoma..... ngoma lost

jana nilisuka treni la hadi alhamis nikatia 1k ili nivune 5.3m bayern nilimpa over 1.5 (individual total), ilipofika ht wakanipa cashout 90k, nimegoma....lost!

hapa nimegundua dawa ya treni ni kustake mara 2 (mfano leo ningecashout mmoja na kubaki mwingine, still ningepata faida kubwa!).......

nashauri wapenda treni, hata kama unastake 100, bora ustake mara 2 utapata faida hata mara 100 yake lakini ukistake moja inakua ngumu ku-cashout wakati unaona dalili za kushinda zipo kumbe kuna vibwengo kama man u wanachana!

..... unaesuka treni jitahidi sana ustakw mara 2, kuna namna utapata faida mana mengi huchanika baada ya game 10+, unakuta umebakiza game 10 kati ya 30+ linachanika
 
Back
Top Bottom