mkuu cash out fasta hapo kumbuka huyo parma ni wa kuja yaani kapanda ligi msimu huu na huyo cagliari ni wa kitambo kunako ligi hivyo ni mzoefu..cash out hao wakirudi 2H parma atatafuta kusawazisha tu na mwenzie lazima azidi kukaza so cash out hutoiona shauri zakoView attachment 3111618
Naona parma ndo ataharibu huu mkwanjwa Aise, na mech zimebaki hizo hizo 3 tu, 🤒🤒🤒🤒