Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sijawai kubet ila nna shida ya kodi ya kupanga nadaiwa na mwenye nyumba hataki hadith yoyote nipeleke kodi au apige kufuli lake.

Nimewaza kupata helq ya chap chap labda nijaribu betting. Naisaka laki 9 .

Wenye kuguswa mnishauri mimi sijui kabisa betting nimeamasika baada kuona dogo mtaani kapata million mbili aliweka elfu 20 timu kumi zifungane magoli nafikiri kila timu iweke goli haijalishi matokeo nikaona kumbe inawezekana.

Nataka niichome elfu 30 yangu ebu mnisaidie nifanyeje niweke vipi mikeka yangu walau mitatu au minne nipate million, nikiliwa basi nitaachana kabisa na hizi ishu coz sikuwai kuvutiwa nazo.

Unaweza pia kunichek PM unisaidie, nabetia shida sina namna.
Kamali ni burudani yafaa kufanya kwa kiasi
Levekusen anaondoka na kijiji😀
Unafataje odd ndogo vile
 
Back
Top Bottom