Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imepangwa matokeo hiyo mechi na makampuni ya kamari ...marudiano comoro anapigwa home .tunisia
Tunisia anaongoza ligi ya kundi lao pamoja na kipigo..naona watu mnalia na tunisia vipigo vingine mnajitakia tu maana wengi mnabetia ukubwa wa jina la timu bila uchambuzi wala kufatilia facts za timu alafu tunisia wachovu balaa kwenye kundi tunisia ndio anashika mkia hivo acheni kubeti kimazoea timu nyingi sahivi afrika zimeamka
Watu kama huyu ni wapumbavu...kama ulikuwa unajua hayo kweli mbona ukusema tangia mwanzo ...unaleta uhuni wa mkanisani wa kujiita mitume na manabii ...naona watu mnalia na tunisia vipigo vingine mnajitakia tu maana wengi mnabetia ukubwa wa jina la timu bila uchambuzi wala kufatilia facts za timu alafu tunisia wachovu balaa kwenye kundi tunisia ndio anashika mkia hivo acheni kubeti kimazoea timu nyingi sahivi afrika zimeamka
Leta msimamo wa hilo kundi weka (Screenshot) hapa tuone.naona watu mnalia na tunisia vipigo vingine mnajitakia tu maana wengi mnabetia ukubwa wa jina la timu bila uchambuzi wala kufatilia facts za timu alafu tunisia wachovu balaa kwenye kundi tunisia ndio anashika mkia hivo acheni kubeti kimazoea timu nyingi sahivi afrika zimeamka
Anataka kutuona sisi hatuna akili.Watu kama huyu ni wapumbavu...kama ulikuwa unajua hayo kweli mbona ukusema tangia mwanzo ...unaleta uhuni wa mkanisani wa kujiita mitume na manabii ...
Oyaa mkuu m mwenyew mdau wa live game kuliko pregame sema huku jf manati vip hmna group Whatsapp ile iwe chap na kwa haraka? Tukimbizane?Hivi hii flash win niliyo shinda maana yake ni nini ?
nani kakwambia kwamba tunisia ni mchovu? hizo game zimepangwa na makampuni ya bettingnaona watu mnalia na tunisia vipigo vingine mnajitakia tu maana wengi mnabetia ukubwa wa jina la timu bila uchambuzi wala kufatilia facts za timu alafu tunisia wachovu balaa kwenye kundi tunisia ndio anashika mkia hivo acheni kubeti kimazoea timu nyingi sahivi afrika zimeamka
Hongera sanaLeo nkaamua nijaribu betting nione inakaaje nkatupia 100k.. naona kuna mwanga kwa mbaaaliii
Mkuu huu mtazamo wako unautoa wapi? Duniani kuna kampuni ngapi za betting? Kwa hiyo kampuni zote za betting zinakaa kikao cha kununua mechi? Mkuu tuwe serious kidogo.nani kakwambia kwamba tunisia ni mchovu? hizo game zimepangwa na makampuni ya betting
makampuni yote ya betting baba yao ni mmoja je umewahi kujiuliza kwanini odds zikipangwa zinafanana karibia na kampuni zote duniani? unakumbuka juventus ilivyoshushwa daraja kwa tuhuma za kupanga matokeo?Mkuu huu mtazamo wako unautoa wapi? Duniani kuna kampuni ngapi za betting? Kwa hiyo kampuni zote za betting zinakaa kikao cha kununua mechi? Mkuu tuwe serious kidogo.
View attachment 3121570
BET OF THE DAY ⚽
📌 Betia PARIPESA. Jiunge Na Weka Stake Yako PARIPESA.
Jisajili Hapa👇
PariPesa
PariPesa
Promo Code: TIPS2424
Code: Y1GTH
📌 Pata 280000 Bure Kwenye PARIPESA Ukijiunga Leo Na Kuweka Promo Code TIPS2424 Na Kudeposit