Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wanangu odd 30 chap chap fanya kuwahi source code ukumbuke kuweka ghana
Screenshot_20241012-190135.png
 
Mbona mnamuacha Guinea ana odd ya 1.70 za Bure kabisa? Wale wahabeshi hawana msuli wa kuizuia Guinea kushinda.
Mkuu acha kuchezea hela zako. Tunza hizo hela uje uweke mzigo wikendi ijayo. Alichonifanya Tunisia jana sina hamu nacho. Matimu ya kiafrika na hata haya ya Ulaya yote ni makwuma tu.
 
HaKuna watu wananiboa kama wale wa kusema mechi imeuzwa, matokeo yamepangwa sijui fixed blah blah, Yani wanataka timu ishinde Kila siku milele😂🙌 wanataka matokeo yaje kama walivoweka , mpira unadunda , pia wachezaji sio marobot wacheze ktka fomu ile ile Kila siku kama VP ingia uwanjani ucheze ww.✍️
 
Ikiwa kuna timu tena kubwa zilizowahi kupata adhabu na mamlaka husika kwa ajili ya kupanga matokeo inatubidi tuamini tu kwamba hiyo biashara haramu ipo.

Kuna mchezaji hapo England alikamatwa na mikeka kibao tena amebetia mpaka mechi anayocheza yeye. Sasa mchezaji kama huyu ukibeti uhalisia tofauti na alivyobeti yeye ndio uhalisia na upangaji matokeo.

Wewe unabeti kadi za njano zitoke under 3.5 first half, yeye anamtafuta refa atoe over 3.5 kwa hiari au kwa lazima na zinatoka kweli.
 
Sawa ata kama, ko mechi zote duniani zinapangwa matokeo?🤔 Unavosema matokeo halisia Ndo yapi hayo 🤔 kwani Kuna mtu anajua mechi itaishaje? Haijalishi mechi imepangwa au haijapangwa Bado itabaki ni ubashiri tu mpira una matokeo yake , kama unaona mechi zinauzwa basi acha kubeti
 
Ndugu yangu , nakubali sana strategy yako ya kuweka odds 2 hadi 5 .

In Long Run utakuwa umekusanya hela ya maana tu kuliko kuweka treni alaf ukakuta timu 1 au 2 imechana.

Jana nimeweka odds 2 , nikala.
So Frm next week tutakuwa wote kwenye odds chache, ngoja nitenge Fungu la kutosha.

Well done bro na Kila la kheri.
 
Sawa mkuu. Ingawa hata odds 2 zinachana ila tutafika tu mkuu na faida
 
Yes ila Likehood ya kushinda ni kubwa kuliko Kuliwa.
Natolea tu mfano hapa.
Ukatenga laki 5,

Ukatafuta must win Games 10 .

Kila mkeka ukaweka timu 2 au 3 tu, either Direct Win au timu ifunge Goli.
Na timu zisijirudie , kila mkeka timu ziwe independent.

Mikeka ikawa mitano.
Kama mkeka mmoja au miwili ukichanika.
Bado hautapoteza ile 500k ya mtaji.
Na kama ikipita mikeka minne una 800k+
Faida 300k.

Anyway hii hesabu ni kama Kilimo cha kwenye madaftar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ila ntaitumia next week.
 
Kuna vijana wadogo tu wa 2000’s ,
Utakuta wana magar na wanakaa apartments Sinza ,
Mabishoo . Na wanamaisha Wastan mazuri.
Unajiuliza wanafanya kazi gan kumbe wanadownload pesa mtandaon.

Wana bet, wako Forex, wana cryptocurrency.

Hivyo Hawatumii nguvu sana Kutafuta hela ila wanatumia Mbinu nzuri pamoja na kuwa na ujasiri na uthubutu.

Wana kamfereji kanaleta hela kidogo kidogo kila siku na maisha yanaenda.
 
Ndiyo mkuu
 
Yes ila Likehood ya kushinda ni kubwa kuliko Kuliwa.
Natolea tu mfano hapa.
Ukatenga laki 5,

Ukatafuta must win Games 10 .

Kila mkeka ukaweka timu 2 au 3 tu, either Direct Win au timu ifunge Goli.
Na timu zisijirudie , kila mkeka timu ziwe independent.

Mikeka ikawa mitano.
Kama mkeka mmoja au miwili ukichanika.
Bado hautapoteza ile 500k ya mtaji.
Na kama ikipita mikeka minne una 800k+
Faida 300k.

Anyway hii hesabu ni kama Kilimo cha kwenye madaftar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ila ntaitumia next week.
Ndiyo mkuu.
 
Sawa ata kama, ko mechi zote duniani zinapangwa matokeo?🤔 Unavosema matokeo halisia Ndo yapi hayo 🤔 kwani Kuna mtu anajua mechi itaishaje? Haijalishi mechi imepangwa au haijapangwa Bado itabaki ni ubashiri tu mpira una matokeo yake , kama unaona mechi zinauzwa basi acha kubeti

Sawa ata kama, ko mechi zote duniani zinapangwa matokeo?🤔 Unavosema matokeo halisia Ndo yapi hayo 🤔 kwani Kuna mtu anajua mechi itaishaje? Haijalishi mechi imepangwa au haijapangwa Bado itabaki ni ubashiri tu mpira una matokeo yake , kama unaona mechi zinauzwa basi acha kubeti
Wala siyo lazima kupanga zote bali ni mechi chache zenye tija kwenye kamari mfano juzi mechi ya comoro ...ushahidi ...mechi ya marudiano comoro anapigwa home au mechi itakwisha draw ..ila asilimia 70 ni direct win kwa away
 
Back
Top Bottom