Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

jztf7a.jpg

FOOTBALL 𝗢𝗡 𝗣𝗔𝗥𝗜𝗣𝗘𝗦𝗔⚽⚽

Booking Code: 7RMH4

Huna Akaunti Ya PARIPESA?

Jisajili PARIPESA Hapa 👇

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

PariPesa App👇
https://cutt.ly/EwZzWppF

Telegram Channel👇: Kayombo Tips ⚽🥎🏈🎾🎱🏀
 
Wala siyo lazima kupanga zote bali ni mechi chache zenye tija kwenye kamari mfano juzi mechi ya comoro ...ushahidi ...mechi ya marudiano comoro anapigwa home au mechi itakwisha draw ..ila asilimia 70 ni direct win kwa away
Aya bhn, lakini zipo mechi km hzo na haijapangwa matokeo si ndio? Zipo nyng tu timu inayopewa nafasi kushinda lakini ikafungwa , mpira unachezwa ndani , nje ya uwanja blah blah tu ,probability na statistics, odds ukubwa na udogo wa timu n nje ya uwanja ukiingia uwanjani shughuli Haina mwenyewe
 
Mechi zinazo pangwa matokeo ni chache sana tena sababu siyo kamari tu zipo hadi sababu za kisiasa nk mfano yale mashindano ya zanzibar ambayo hadi rwanda walilalamika ....kuna mechi ya yanga kule south africa ...sababu siyo kamari tu ila matokeo kwenye baadhi ya mechi yanapangwa.
 
Acha uongo wewe
 
Tujaribu kukuza mitaji odds 25 tia hata 500 pia endeleeni kuedit

C87866

Odds 13 edit

B4600C
 
Tumia akili wapo hadi wachezaji wanatumika kupanga matokeo sababu zikiwa mbalimbali ...ndiyo maana hadi Mo aliwai kulalamika kuwa wachezaji wake wanabet ...unadhani kwa nini.
Unakunywa kahawa kijiwe gani!? Tupe clip ya Mo akilalamika wachezaji kubeti. Unaleta story za vijiwe vya kahawa kwa watu wanaojielewa!?

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Kwa leo tuishi humu.
Direct Win
-Egypt
-south Africa
-Turkey
- Germany
-Netherlands
-Tunisia
-Angola
-Ukraine

Over 2.5
Nigeria vs Libya

Under 3.5
Cameroon vs Kenya

Nina wasiwas leo na
Zambia , Nigeria na Senegal
Niko naipitia hii komenti yako nacheka tu, hapo kamerun alishachana ,uholanzj nae mapema.
 
Wakamalia sportybet Nina hili Salio nataka mpaka mwakani mwezi wa 6 niwe na million 10 Kwa ajili ya ujenzi naombeni mawazo yenu nitembee vipi
Tumia 20k tu, tafuta odds 2 mfano team za germany zipe GG then mpe liverpool ,barca , madrid, yanga, celti,porto kushinda mmoja kati ya hao
 
Back
Top Bottom