KOROSHO BOMBA
Member
- May 11, 2024
- 31
- 34
Inanikumbusha mechi ya Bournemouth vs Chelsea nimecashout dk ya 86 halaf dk 87 Chelsea wakashindaMimi mwenyewe nimefanya hilo kosa mchana. Nime-sell mkeka dakika ya 72 kwa bei ya stake niliyoweka halafu dakika ya 73 goli likaingia.
Mkeka ulitiki mechi 13 nikakosa hela