The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
Sijaibetia hio kampuniKwani MMESHINDWA kuexaplain hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaibetia hio kampuniKwani MMESHINDWA kuexaplain hapa
Huu mfumo huwezi kula hasara kwa kuwa huwezi poteza kila siku utaliwa siku moja utakula siku mbili.Twende mbele turudi nyuma, high risky more benefits.
View attachment 3131188
View attachment 3131189View attachment 3131190
View attachment 3131188
Hiyo hairudi , ukiwa na mentally ya cashout tayari una hela ya mawazo au umeweka ya ada.Nilitake laki nika cashout elfu 22 ilikuwa nishinde 217k na kwa ufupi mkeka umewin
Lakini hiyo 22 niliocashout nikabet tena
Na sasa nasubiria inter ashinde au adroo ili nirudishe stake yangu na faida kidogo
Ipo sawa,ila Tennis sijui watakuja watu wa TennisNaomba maoni game za jioni kabla ya Usiku
Hongera sana💥💥👏👏👏👏👏Twende mbele turudi nyuma, high risky more benefits.
View attachment 3131188
View attachment 3131189View attachment 3131190
View attachment 3131188
Laki ODDS 10?Nottigham Forest sio wa kuwaamin .
Cash out is Best option.
Asuke tu mkeka mwingine wa Uefa.
Aweke laki 1 . Atafute odds 10 tu.
Hiyo hairudi , ukiwa na mentally ya cashout tayari una hela ya mawazo au umeweka ya ada.
Huwezi nambia naweka 100k alafu nasubiri cashout.
Kubeti ni kubahatisha ukiamua, kuweka pesa yoyote jua Kuna kuwini au kuloose, weka funga app subiri mida ya mech kuisha ikishaisha tumia live score, flash au sofascore kucheki matokeo hainaga presha zaidi ya kuchungalia kule direct.
Imerudi mkuu kama unavyoona hapo 22k niliocashout nilitumia 20k kuweka mkeka mwingine na nikapata almost 190k kama unavyoonaHiyo hairudi , ukiwa na mentally ya cashout tayari una hela ya mawazo au umeweka ya ada.
Huwezi nambia naweka 100k alafu nasubiri cashout.
Kubeti ni kubahatisha ukiamua, kuweka pesa yoyote jua Kuna kuwini au kuloose, weka funga app subiri mida ya mech kuisha ikishaisha tumia live score, flash au sofascore kucheki matokeo hainaga presha zaidi ya kuchungalia kule direct.
Hizi zipo vizuriNaomba maoni game za jioni kabla ya Usiku
Kweli mkuu[emoji1][emoji1][emoji1]mkuu acha masihara kwa namma ile lazma ucash out tu
Twende mbele turudi nyuma, high risky more benefits.
View attachment 3131188
View attachment 3131189View attachment 3131190
View attachment 3131188
High ndo mchezo mzima, na hivi unakula sana na mhindi ndo anaogopaTwende mbele turudi nyuma, high risky more benefits.
View attachment 3131188
View attachment 3131189View attachment 3131190
View attachment 3131188
Afanyaje hapa?
1. Cashout 1m, aache 2.6m?
2. Ampe Crystal Palace mazima kwa stake kati ya 200,000 - 500,000? Crystal Palace asiposhinda bado atakuwa na faida isiyopungua 2.1m
Aende na option 1 au 2?
Dah unacashout dakika ya 49 mkuuSafi hio gemu ya inter niliweka FT over 0.5 nikaona hadi dk 49 nill nika cashbout ,dk 60 vhuma , nilijilaumu sana
Ikichana itamuuma sana hii ataona bora angecash out maana cashout ni kubwa kuliko hiyo ya palace win, ingekua mimi ningestake 500k au 700k atleast ziendane kidogo, namuombea utiki ule wa kwanzaAsanteni kwa mawazo, wakuu !
Ameamua akabe kote kote … tofauti itakuwa ni kwny faida …
View attachment 3131465
Kaka gemubza serie A kutoa 0 0 kawqida sana ,hao hawaminiki,Dah unacashout dakika ya 49 mkuu
Ngumu sana kwa palace kutoboa hii mechiAsanteni kwa mawazo, wakuu !
Ameamua akabe kote kote … tofauti itakuwa ni kwny faida …
View attachment 3131465
View attachment 3131481
CHINA BASKETBALL 🏀
Booking Code: 9PTC6
Huna Akaunti Ya PARIPESA? Sajili Akaunti Kwenye Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code Weka Neno TIPS2424 👇
PariPesa
PariPesa
Promo Code: TIPS2424
Tumia Promo Code TIPS2424 Wakati Unajiunga Upate Bonus Ya 300,000 Bure Baada Ya Kudeposit
Umelisha mitaa mwamba🙏View attachment 3131481