Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sportybet


70BEF2


Acha uwoga, weka 1000 na rudia mkeka mara mbili .

Kesho asubuhi tuanze kumsumbua Dotto magari na Issa Tambu kwani hatuna haja ya kuagiza Japan. South Africa sio mbali

Hii ni pesa hii 💵💵💵💵💵
 
Wakamaria poleni na machungu ya jana.

Naomb. Nielekezwe ile option ya away or over 2.5 unaipata wapi au home or under 2.5

Nikiwa na maana away ashinde au watoe magoli kuanzia ma3
 
Back
Top Bottom