Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

KAMARI haina Huruma

DORTMUND kamaliza,muhim kuanza moooja 🤣🤣🤣🤣

Na muda wowote Bayern anararua,maana wahuni Mainz kwa kuchomoa magoli dk za mwisho na kigoli kimoja hicho
 
Monaco pigwa ufee
Nilimpa Bookings over 2.5
Mpaka sasa kila team Card Moja,so nipo Salam

Acha safari iendeleee

Screenshot_20241109-192923.png
 
Back
Top Bottom