uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Tatu tayari,vin anaweza chukua mpira leo2 huko tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatu tayari,vin anaweza chukua mpira leo2 huko tayari
Nne teyariTatu tayari,vin anaweza chukua mpira leo
Ana hasira leo4 ,Madrid anaua mtu Leo,wazee wa over 3.5 kitu tayari
Na kenge mwenyewe ni dortmund, hata double chance hatoiUkimfurahia Real Madrid muda huuu unaweza kukuta kenge mmoja akazingua🤣🤣🤣🤣
Madrid so far 👏👏👏👏
Ana red cardNa kenge mwenyewe ni dortmund, hata double chance hatoi
Afanye anachojua mimi anipe double chance tuAna red card
Ana red anatoaje double chance kaka. Na ana ongozwa hukoAfanye anachojua mimi anipe double chance tu
Kashapigwa tatu moja ngumu kutoa na ana umeme tayariAfanye anachojua mimi anipe double chance tu
Kuwa na imani kaka.. hakuna kinachoshindikanaKashapigwa tatu moja ngumu kutoa na ana umeme tayari
Leverkusen nae kaunga TelaNa kenge mwenyewe ni dortmund, hata double chance hatoi
Leverkusen katembea na kagoli kamoja mwisho kasawazishiwa jioooni,Leverkusen nae kaunga Tela
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku Monaco nae kaanza kwa kichapo
Kazingua vibaya sanaAiseee dk ya 92 Leverkusen kaachia ushindi
Nimepishana na hela nyingi mmno
Mm najilaumu kwanini nilicash outAiseee dk ya 92 Leverkusen kaachia ushindi
Nimepishana na hela nyingi mmno