Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Huko mbele mtajuana wenyewe
Mie tumeisha malizana
Mie tumeisha malizana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina lenyewe Israel aache kutoa mtu Roho siku ya Mwisho 🤣🤣🤣🤣
Alinichania mkeka wangu na France, ndiyo maana mimi sikumueka kwenye mkeka sikuizi kama mgumu kufungwa.Jina lenyewe Israel aache kutoa mtu Roho siku ya Mwisho 🤣🤣🤣🤣
Mi nilichakazwa fasta fasta mapema saa mbili nilimpa England ashinde 1H.nimeenda kulala nikitegemeana asubuhi kukutana na ya vocha maana niliacha game ya belgium na nilimpa dc.......
maajabu sijaona kitu kwenye account!!!
belgium wana tatizo gani?
international games imetosha sasa..... nisubiri ligi tu
Leo game ziponimeenda kulala nikitegemeana asubuhi kukutana na ya vocha maana niliacha game ya belgium na nilimpa dc.......
maajabu sijaona kitu kwenye account!!!
belgium wana tatizo gani?
international games imetosha sasa..... nisubiri ligi tu
0032D2
Nataka nitie mzigo wa maana hapo hebu nipeni maoni yenu mechi nne tu odds 2.4
Tumia wakala boss,hutapata tabu, hasa Romano HQJamani ni kwangu tuu ama ni kwa wote[emoji26]
Naona kama 1XBET wametoa mfumo wa kutoa pesa kutumia mobile payment.
Sijui ndiyo maboresho zaidi sijajua
Hiyo nilikimbia mafala nili roll over mpaka 800k alafu niliweka pesa kwa Airtel Sasa wakati nataka kutoa pesa hakuna njia wakatinzilizkiwepi huo ni mchezo wa KISHENZI wa 1xbet niliishia iusimulia wajukuu, naambiwa niweke tena kiasi cha pesa kwa kutumia wakala alafu nibeti kwa odd ndogo na minmachale yashanicheza maana sikutaka kuendelea na roll over nimetafuta hiyo game yenye odd ndogo wamerudisha hela yote nimeishia kupigwa nime uninstall app yao sirudi tena!Jamani ni kwangu tuu ama ni kwa wote😥
Naona kama 1XBET wametoa mfumo wa kutoa pesa kutumia mobile payment.
Sijui ndiyo maboresho zaidi sijajua
0032D2
Nataka nitie mzigo wa maana hapo hebu nipeni maoni yenu mechi nne tu odds 2.4
Cheza ht draw au full time under 2.5Wakubwa game ya taifa stars kesho dhidi ya Guinea naona ina odds tamu na zinapanda tu , sahv ni 3.25... nataka nitie 100k, Je mlioitazama hiyo Guinea wapo vzr? sijabahatika kuwaona mechi ya juzi dhidi ya DR Congo.
Ukiweka tu.wanatoa mafalaJamani ni kwangu tuu ama ni kwa wote😥
Naona kama 1XBET wametoa mfumo wa kutoa pesa kutumia mobile payment.
Sijui ndiyo maboresho zaidi sijajua