Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
πππ Kuna watu wa ajabu sana..ππππ€Έπ€ΈIla unanipa Raha sana toka asubuhi
Kuumia kwa mwenzako wewe kwako furaha sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππ Kuna watu wa ajabu sana..ππππ€Έπ€ΈIla unanipa Raha sana toka asubuhi
Weee nimetuma angalia post ya jamaa nilikua najibizana nae baada ya kushindwa kufungua PM yanguππππ Mkuu kila mtu kawa mbaya humu???hebu tuma Kwanza huo mkeka tuone Kama uliweka iyo buku tanoπππ
Jamaa alisema ya uwakika akasema tukutane kesho..SASA mkuu kosa cyo lake kwani yeye ndo Katia hizo draw??πππ
Mkuu wewe kiasi chako cha mwisho uliweka ngapiUngeweka hata kilo kwa uhakika zaidi!.πππ
Mkuu wee ujajua tuu the way nimekua disappointed hv seriously et kona zinatoka droo we unaona ni ukweli huoSasa wewe ya kutosha ndo ukaweka 5k hahahaaa
ππππππ Kuna watu wa ajabu sana..
Kuumia kwa mwenzako wewe kwako furaha sio
ππππππ
ππWashachukua changu mkuu
Nimeliwa Mimiπππ
π€£π€£π€£π€£Yule jamaa aliyetuma code za corner jana nikajilipua na elfu tano yangu..
Nataka pesa yangu naona pm umefunga
mkuu mkeka mzuri ila ondoa Austria Salzburg
That's why I go for goals! Na Sio Win, I know them bothmkuu mkeka mzuri ila ondoa Austria Salzburg
Kuna watu hovyo humu mkuu ..π€£π€£π€£π€£
Nakua serious lakini ndio hivyoMikeka yako unakuwa serious kuiandaa au unabonyeza tu!?
Nakua serious lakini ndio hivyoMikeka yako unakuwa serious kuiandaa au unabonyeza tu!?
Pole my future client...njoo nikuelekeze u file suitNimeliwa Mimi
Ila wewe Leo umeamuq kutufurahisha..natumai unatania haupo seriousKuna watu hovyo humu mkuu ..
Wee assume mtu anakaa anatengeza code alafu anasema ety corner wame droo
Huyu jamaa kashajificha ujueeee...Pole my future client...njoo nikuelekeze u file suit