Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
nashukuru sana chief nime download ila inatumia mda mrefu sana kusajiliTelegram X playstore
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nashukuru sana chief nime download ila inatumia mda mrefu sana kusajiliTelegram X playstore
ubarikiwe sana kamandaDownload Thunder Vpn toka playstore
Ama
Download Tor Browser, hii ni browser kama ilivyo Chrome, Opera,Phoenix browser na nyinginezo lakini Ni POWERFUL BROWSER! (Road to dark web).... hii iko na vpn ndani yake,
ukiwa unatumia Tor browser huhitaji kuwa na Vpn yoyote, Site zote zilizofungiwa Tanzania na duniani kote hapa unazipata wazi kabisa kama kinyeo cha ngiri!
Mkongwe Kitambo sanaaaGame za leo hazielewi
Kesho tutaendelea na ROUND 2
Mkongwe mwenzangu upo mkuu?Mkongwe Kitambo sanaaa
Kwenye smartphone yako nenda kwenye settings, app settings ifungue Tor halafu give permission, all permissionmkuu JITU BANDIA nimeshusha mb 95 za Tor browser ila bado telegram haisomekiView attachment 3176404
au kuna namna ya kuitumia?
Kama ukiona Tor inasumbua kwenye cm yako, download thunder vpn tu...Telegram itafunguka na ac yako ileileubarikiwe sana kamanda
Mechi ipo wazi kama pepa la lililovuja.Mechi ya yanga na mazembe option ipi uhakika? Mechi imekaa kimtego sana
😀😀😀😀Hatuna mpango wowote wa kumpoteza mwanachama..
Bet kama hizi utakuta asilimia 90 ya wakamalia duniani wamebet hivi, na ikitokea imetoa Bookies huwa wanaumia sanaEI2WC6T
BetpawaView attachment 3176439