Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mirinda nyeusi moja na mayai mawili, kama wewe ni me, unavyoDhakari 23 mana yake nn mkuu
😂😂Mirinda nyeusi moja na mayai mawili, kama wewe ni me, unavyo
Tupia code mkuuNgoja tuone kama tutatoboa 👇👇
Yani leo hii city wa kupewa odd zote hizo na hapo anaweza asipate hata goli moja sijui nini kimetokea au kocha kaishiwa mbinu,Hatukatai timu zinakufaga kimpira na kiuwezo lakini hawa Man City sasa wameoza:
View attachment 3179109
Nataka nimpe villa hela ya bundleYani leo hii city wa kupewa odd zote hizo na hapo anaweza asipate hata goli moja sijui nini kimetokea au kocha kaishiwa mbinu,
Wametumika sana hadi wamechoka hoi bin taabani. January wanatakiwa kuwauza wazee wote akina Gundogan, Walker, De Bryune na Haaland wanunue wachezaji wachanga wanaojituma kazini.Yani leo hii city wa kupewa odd zote hizo na hapo anaweza asipate hata goli moja sijui nini kimetokea au kocha kaishiwa mbinu,
Utaliwa bure mzee. Hata kama City wamechoka wanaweza kuwaadhibu Villa kipigo cha mbwa mwizi hadi ukashangaa. Kama wewe ni mkamaria unayeamini ktk probability, mpe City ushindi hela yako itakuwa salama zaidi ya kuwapa hao Villa.Nataka nimpe villa hela ya bundle
Weka magoli mzeyaUtaliwa bure mzee. Hata kama City wamechoka wanaweza kuwaadhibu Villa kipigo cha mbwa mwizi. Kama wewe ni mkamaria unayeamini ktk probability, mpe City ushindi hela yako itakuwa salama zaidi ya kuwapa hao Villa.
Magoli mangapi mkuuu? Mechi hii haitakuwa na magoli mengi inavyoonekana.Weka magoli mzeya
O2.5Magoli mangapi mkuuu? Mechi hii haitakuwa na magoli mengi inavyoonekana.
Mhh! Hiyo ngumu kumeza.O2.5