Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa wale tuliobeti mechi za saa12jioni tukaomba goli moja moja mhindi amepita na sisi
🤣🤣🤣
Sio zote
Niliipa Mechi ya Egypt over 0.5 dakiaka ya 90+5 NDIO anapata

Kazi ngum hii

Screenshot_20241226-213904.png
 
Mwenye namba za mawasiliano ya Betwinner Tz ...msaada..... Nimekuta libonus la 25,000 ..kulitumia Sasa ndio mtihani ...... Msaada ...jana nimenyoroshwa
 
Jaribu kubeti timu 3 kila timu odds zianzie 1.4.
Ikigoma bet mechi 1.
 
Mwenye namba za mawasiliano ya Betwinner Tz ...msaada..... Nimekuta libonus la 25,000 ..kulitumia Sasa ndio mtihani ...... Msaada ...jana nimenyoroshwa
Jaribu kuwa mtundu wa ku fix options

Kuna bonus ambazo zinataka kila Mechi iwe na odds kuanzia Fulani, wengine Wana fix odds za juuu Ili wakupige Tena,numbers of matches haijalishi ila odd ya kila Mechi iwe kubwa na overall Odds ina kiwango chake
 
Kumekuchaaaaaaaa

Today's Hits from GOVERNOR my self:-

1 ) ARSENAL vs Ipswich
Hii Mechi ni nyepesi kwa Arsenal ila Ipswich ni team ya Surprises.
Pia tujue Bukayo Sakka hayupo na anaweza kukosa msim Mzima

Sasa options nimezoenda nazo:-

A) Arsenal Over 1.5
B) Bookings Over 2.5

2 ) AZAM vs JKT
JKT Katoka kucheza Mechi alizotumia nguvu kubwa mnoo
JKT kama Team nyingine tu anapokutana na Simba au YOUNG AFRICANS basi hujitoa kupitia kiasi.
AZAM Fc na yote yake, sticking force yao ni ya Hali ya juuu mnooo
JKT anaweza kufungika kirahisi mnoo leo

Options:-
A) Azam vs JKT over 1.5
B) AZAM Fc over 1.5

3 ) BRIGHTON vs BRENTFORD
Hawa wajinga wote wanatumia nguvu mnoo kuliko akili,Mechi zao zote ni tough mnoo kama Prison ya kina Asukile.Au kama ilipokuwa Wolves zamani
Na tabia ya watata wa mid-table teams wakikutana basi goals zakutosha pia,na sijui kama mmoja Hali Umeme kwenye hii mechi
Mie hiiechi nimeipa

A) Bookings over 2.5
B) Overall Goals 1.5

Note:-
Ni mtizamo wangu na sio guarantee kwamba lazima iwe hivyo
But those are options which I opted on them

All the best Brothers👏👏👏👏🙏
 
Msaada
Nisaidie ufafanuzi hapo kwenye booking
Sijui booking ni nn na inakuaje
 
Msaada
Nisaidie ufafanuzi hapo kwenye booking
Sijui booking ni nn na inakuaje
Bookings ni Card
Ikiwa yellow card inakuwa Moja
Mchezaji akipewa straight Red card zinakuwa Sawa na Njano mbili

Sasa mfano Bookings over 2.5
Hapo zikifika Yellow Cards 3 imetiki hiyo
Au ikiwa yellow Card Moja na Straight Red card Moja imetiki pia

Mfano Jana niliipa Mechi ya Manchester Bookings over 3.5 zikatiki na mikadi ilikuwa teleeee

Ila betting haitaki Mazoea kuna siku Refa akiwa Mprotestant mtu wa MUNGU watu mtauwana hatoi Card🤣🤣🤣🤣🤣
Ila ukikuta Mechi ina booking over 2.5 pita nayo, nyingi huwa zinatoa,na Cards nyingi huwa kipindi cha pili NDIO wachezaji wamechokaa umakini unapungua rafu teleee

Ufupi bookings ni Cards
 
Ufafanuzi mzuri sana
Ntaongea na mama akupe wizara
 
Back
Top Bottom