Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aisee Kanji tuishie hapa au tuendelee na dozi
 

Attachments

  • Screenshot_20241229_182517_1xBet.jpg
    Screenshot_20241229_182517_1xBet.jpg
    157.4 KB · Views: 2
Man city akicheza na Leo anaweza poteza hii gemu,Kuna muda anapelekewa moto mpaka sio poa
Nimeangali kuanzia dakika ya 35 hadi 45 na amekula hela yangu maana niliomba goli 2 apate.
Nimejiridhisha pasi na shaka kwamba nimwache aende zake, nisimfate second half.
 
😂 We jamaa bhn makasiriko mpka unatukana, asa unachotetea nini apo Yani umepost mkeka na bet ID inasomeka pale juu , ndomana nkasema we unatuona sisi watoto au washamba , bet ID hyo ukisearch haisomi huu mkeka
We nawe mmh umeanza kubet lini
 
Hapa mpaka mseme ugali kwa kihindi unaitwaje kuna watu hamnijui ok ok naitwa mr pipa aka nabii wa mikeka kama unaona edit bas edit na ww tuwekee hapa hapa ni won juu ya woon nishaaga kwetu naenda mjini kubet 👇👇👇👇
 

Attachments

  • Recorder_29122024_224722.jpg
    Recorder_29122024_224722.jpg
    195 KB · Views: 2
  • Recorder_29122024_224818.jpg
    Recorder_29122024_224818.jpg
    714.3 KB · Views: 1
Mwenye uwezo kama wangu aje hapa namtia m3 ooh tunajua kuchambua ooh tunajua kubet ooh nabet toka 2000 ukichek mikeka yake lost moja had 12 afu unaleta maneno ooh edit ooh anataka watapeli kihela chako kunisaidia nn mi nashinda na mo au baresaa kwa siku naingia m8 hadi 20 mshahara wa raisi wako wa mwezi hapo tu namuonea huruma muhindi afu ushindani na mm 😠😠😠😂😂😂ni ndio pipaaa nabii wa mikeka
 

Attachments

  • Recorder_29122024_225428.jpg
    Recorder_29122024_225428.jpg
    674.8 KB · Views: 2
Hapa mpaka mseme ugali kwa kihindi unaitwaje kuna watu hamnijui ok ok naitwa mr pipa aka nabii wa mikeka kama unaona edit bas edit na ww tuwekee hapa hapa ni won juu ya woon nishaaga kwetu naenda mjini kubet [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
We jamaa ni mjinga sana lakini utapata wajinga wenzio uwapige hela
 
We jamaa ni mjinga sana lakini utapata wajinga wenzio uwapige hela
Kama imejiunga mwaka juzi jf lazima unishangae mi mkongwe hapa mi na kuku kuku anaa akili mingi sana tulia broo
 
Tukishakula tunarudisha kwa jamii ya mhindi
Screenshot_20241229-233705_Megapari.jpg
. Tunaomba goli dakika ya 36 1H.
 
Back
Top Bottom