Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee,hii kampuni ni hovyo sijapata kuona!Nimewatetea sana Paripesa ila leo ndiyo namaliza kufanya nao kazi, narudi sportpesa. Siwezi subiri pesa siku 3.
Mizunguo sana hao jamaa.Aisee,hii kampuni ni hovyo sijapata kuona!
Ngoja niweke ada ya Junior nivune nauli ya kwenda Mkutano mkuu CDM 😂Tuishi humu BP 2C1RZCR
Ngoja niweke ada ya Junior nivune nauli ya kwenda Mkutano mkuu CDM [emoji23]
Ukiweka ada hatutoboiNgoja niweke ada ya Junior nivune nauli ya kwenda Mkutano mkuu CDM 😂
AiseeeUkiweka ada hatutoboi
Polee mkuuJicho la unabii naona kuna goli 3 kabisa hapaView attachment 3195202
Hatukati tamaa tunasonga mbelePolee mkuu
Daaah nimeamka kucheki mkeka wangu wa over 1.5 , porto vs sporting wamepita nao ,wengine wote wametiki[emoji2955][emoji2955]Hatukati tamaa tunasonga mbele