Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau za januari tulivu… Mimi kama jokeri wa kubeti leo naona kabisa TP Mazembe akishinda, na kwa maono hayo hayawezi pita hivi hivi hivyo basi nimeamua niweke dau la 1M fedha za kiTanzania kwenye keka langu ambayo malipo yake ni zaidi ya mil 10 after Tax. Wenye ndoto kama mimi ruksa kutia dau

IMG_2999.jpeg
 
View attachment 3197539
Siku hizi milioni moja ina sifuri mbili?
Screenshot_20250110-150256.png
 
Back
Top Bottom