Cetshwayo Kampande
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,295
- 2,973
Kacheza vizuri sana mwanzoni,wangekua makini hii game wangeimaliza kipindi Cha kwanzaMAMELOD SUNDOWN umeyatimba leo😂😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kacheza vizuri sana mwanzoni,wangekua makini hii game wangeimaliza kipindi Cha kwanzaMAMELOD SUNDOWN umeyatimba leo😂😂😂😂😂
Naichek ,ndio maana nakwambia wakirekebisha kwenye umaliziaji ,wanashinda ata tatuWeeee unaiona Mechi live kama mie au unasema tuu
MAMELOD wanamakosa ya kizembe mnooo
Haya Mdau tupoNaichek ,ndio maana nakwambia wakirekebisha kwenye umaliziaji ,wanashinda ata tatu
Ana 9 sasahivi , JilipueWazee wakujilipua ,mamelod ana odd 6 uko,anashinda hii game
Kaka naona upo serious.8PZ0NG0 Betpawa Code Timu 10 tu.
Bila shaka kakaKaka naona upo serious.
Hiyooo,nilikuambia mamelod anashinda hiiWeeee unaiona Mechi live kama mie au unasema tuu
MAMELOD wanamakosa ya kizembe mnooo
Ona Sasa ,ungeweka apo ata 5000 ungekuta una elfu 45 hiviAna 9 sasahivi , Jilipue
Tatizo nimejiwekea kikomo cha chini kubeti na kikomo cha Juu kubeti. Hela iliyokuweko kwenye account ilikuwa ni chini sana ya kiwango change cha kubet , nikaipotezeaOna Sasa ,ungeweka apo ata 5000 ungekuta una elfu 45 hivi
Iyo ilikua lazima kuitoa maana ilikua inakula kwao, watu wenye mitaji ilikua option ya uhakika sana.Naona sport bety wametoa bet builder nadhani wamepigwa sana.
Nani anipe odd 5