Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Liverpool Ngoma ngumu wamekutana na watoto wa mjini wakina Brentford, wengine wakina forest na Brighton New Castle
 
Daaa Athletico Madrid ameondoka na hela yangu Yan Nilimpa atoe goli moja tu limemshinda! Hivi betting mna uhakika kweli tunacheza fair au kuna mauza uza maana sio kwa matokeo haya 😭 laki yangu imeondoka kama upepo nimebaki na elfu 30 kwenye account ngoja niitoe nikale hata kuku leo maana kanji hakawii kunivuta nibet tena leo kumanyoko zakee
 
official betting partner.jpg
 
HONGERA mkuu
Nadhani utakua mkamalia wa kwanza duniani usiye na “tamaa” ambaye betting kwako ni RAHISI sana
Na utakua unamfumua kanji daily kwa kutokua na tamaa 🙏
We sio mkamaria kamari na tamaa vitu viwili tofauti ata ushinde milion 500 utazirudisha ndani ya wiki ukiendekeza tamaa kamari dawa yake kushukuru unachokiona Sasa wewe unaona kabisa hii timu inatoboa unaongeza nyingine Ili ule nyingi hapo utasubiri sana
 
Huyu ukibahatika kuchungulia lost bet zake utamhurumia!, hapo katurishia hako alikobahatisha kwa kurisk elfu 90 akifukizia elfu 10. Aweke hapa mikeka aliyopoteza uone maajabu ya muhindi

NB: Achaneni na kamari wakuu, hii kitu ni adui wa uchumi wako.
Screenshot_20250118-180613.jpg
 
We sio mkamaria kamari na tamaa vitu viwili tofauti ata ushinde milion 500 utazirudisha ndani ya wiki ukiendekeza tamaa kamari dawa yake kushukuru unachokiona Sasa wewe unaona kabisa hii timu inatoboa unaongeza nyingine Ili ule nyingi hapo utasubiri sana
Ndio maana nimekupa HONGERA mkuu
Wewe ni MKAMALIA BORA kabisa Duniani
 
Back
Top Bottom