Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mpe tu ushindi
Huwa unamuamini sana
Fulham game 7 za mwisho mfululizo lazima ana score bao 2+
Na Man U game 7 za mwisho mfululizo lazima ama afunge goli 2+ au afungwe yeye goli 2+

Ngoja nimdhamini Man U win & total 2.5.
Odd 4.55
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Na

Nakubaliana na wewe

Mimi nilikuwa nawaza kumfata man mazima na Goli mbili
 
Hapa panaonekana kabisa pana goli 2. Ukiwa na roho ngumu unampa athletic kazi yote ya kutafuta goli 2. Odds hizo hapo.
Screenshot_20250126-213601_Megapari.jpg
 
Fulham game 7 za mwisho mfululizo lazima ana score bao 2+
Na Man U game 7 za mwisho mfululizo lazima ama afunge goli 2+ au afungwe yeye goli 2+

Ngoja nimdhamini Man U win & total 2.5.
Odd 4.55
πŸ™πŸ™πŸ™
Naona bet inapumulia mirija ya oxygen
First half nyau nyau πŸ‘€
 
Back
Top Bottom