Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππ
Mkuu nipo hapa nazitafakari kwa kina hizi Odd 3 za Man U win, lakini kila nikiwafikiria Fulham karoho kanasita kabisaaaa
Jana nilipigwa vibaya nikichemka na leo naikausha acc yangu
Mayu tumfateeeeeeeeeee na goli mbiliiiiππππ
Mkuu nipo hapa nazitafakari kwa kina hizi Odd 3 za Man U win, lakini kila nikiwafikiria Fulham karoho kanasita kabisaaaa
Jana nilipigwa vibaya nikichemka na leo naikausha acc yangu
Fulham game 7 za mwisho mfululizo lazima ana score bao 2+Mpe tu ushindi
Huwa unamuamini sana
Nakubaliana na weweFulham game 7 za mwisho mfululizo lazima ana score bao 2+
Na Man U game 7 za mwisho mfululizo lazima ama afunge goli 2+ au afungwe yeye goli 2+
Ngoja nimdhamini Man U win & total 2.5.
Odd 4.55
πππ
Tisha sana mkuuKuna hela zipo chini hapa kama kuna mtu anaweza kuinama aokoke.View attachment 3214957
Simu zote za wa wawekezaji hasa wanaocheza live Huwa Haina chajiNyuklia za Man U odds 7 hizo.Uzuri hii hata ukiliwa haitumi sana maana wasiwasi unaanzia hata kabla ya kubofya button.View attachment 3215027
π€£ Umenikumbusha ya jana na GalatasarayOption over 1.5 FT
Dakika ya 3 goli la kwanza
FT 1-0 π
π€£ Umenikumbusha ya jana na Galatasaray
Naona bet inapumulia mirija ya oxygenFulham game 7 za mwisho mfululizo lazima ana score bao 2+
Na Man U game 7 za mwisho mfululizo lazima ama afunge goli 2+ au afungwe yeye goli 2+
Ngoja nimdhamini Man U win & total 2.5.
Odd 4.55
πππ
Nyau nyauNaona bet inapumulia mirija ya oxygen
First half nyau nyau π
Hali ngumuVp man u huko
Huyu bundi ni WA kumuondoa na mawe aiseeHali ngumu
Man U hana short on target hata moja
Hakuna kona hata moja
Nani huyo umemwombaNimewaomba 2plus muda huu ili wale hela yangu vizuri.