Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu hivi handcap -2 au 2+ ina maana gani
Uliyempa -2 ashinde kwa tofauti ya goli 3 mfano 3(-2)-0 au 4(-2)-1, wakati huyo wa +2 ashinde au sare ila asifungwe zaidi ya goli 1 mfano 1-0(+2), 2-1(+2).

Hasi maana yake mbabe katanguliwa kabla mchezo haujaanza lazima ashinde zaidi ya hizo goli. Chanya umemtanguliza kibonde asifungwe zaidi ya goli ulizompa.
 
Mmh hiyi ngumu kumeza
 
Fulham game 7 za mwisho mfululizo lazima ana score bao 2+
Na Man U game 7 za mwisho mfululizo lazima ama afunge goli 2+ au afungwe yeye goli 2+

Ngoja nimdhamini Man U win & total 2.5.
Odd 4.55
🙏🙏🙏
Toka mwezi wa 8 mwaka jana Nilipo deposit 100k hatimaye jana rasmi Acc yangu ya betting Man U ameikausha ...... 0 balace

I had a good run though 🙏🙏🙏
 
Screenshot_20250127-094704_Telegram.jpg
 
Back
Top Bottom