Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Yeah kama hutaki kufunga ruhusu kufungwa, Over 2.5 Oyee?!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu. Game za EPL baadhi unaweza kusikiliza tu commentary kama radio lakini sio kuangaliaWakuu sportybet wanaoneshaga games za EPL?
Yeah kama hutaki kufunga ruhusu kufungwa, Over 2.5 Oyee?!?
View attachment 3221167
Ndo timu za kubetiaMmemuona Nottingham wazee?!? Huu ndiyo uungwana game in kadi 3 tayari, gaoal tatu tayari
Washkaji hawajataka utani kabisa, na odds zilikuwa zimenona sanaNdo timu za kubetia
Utakuwa umemtukana sana azizi kMechi ya Yanga ft Kagera Sugar
First
Over ya 1.5 Ina odds 2.10
Tujilipue!
Mnoooooooo unakosaje penatiii aiseeeeUtakuwa umemtukana sana azizi k
Nipe code mzeeUtakuwa umemtukana sana azizi k
Unafatilia hii mechi mkuu?
Tunashukuru umetoa mchongo ila bahati mbaya umefail.Mechi ya Yanga ft Kagera Sugar
First
Over ya 1.5 Ina odds 2.10
Tujilipue!