Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Oya wakuu kwema? Kuna app inaitwa mkeka.co.tz wanatoa dondoo za kubet vp wapo vizuri au ni matapeli?
Hawana uhusiano na kampuni ya betting ya mkeka bet?
Unajua katika tafsiri rahisi tu ukiangalia katika kila kundi la aina ya betting option iliyopewa odds ndogo zaidi ndiyo most likely kutokea.
 
Hivyo kiufupi betting tips na sure tips inakuwa kama aina fulani ya uzushi tu.
Bora hapa kwenye huu uzi kunafanyika mjadala wa wazi, na mwishoni wewe mwenyewe unachukua maamuzi ya mwisho.
 
Ila generally Celtic ni timu nzuri, imeshinda mechi nyingi sana za ligi kuu yake mfululizo. Hivyo kupoteza leo kusijekufanya ubadilishe option unayompa au kumtoa kabisa.
 
Man City pekee ndiyo timu kubwa iliyopoteza dila, inaafaa kuachwa kwenye mikeka ya kimkakati hadi mwisho wa msimu huu.
 
Back
Top Bottom