Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka huko Italy kwenye maswala ya kupanga matokeo huwa wanajivua ubinadamu kabisa. Ushahidi kwenye mamlaka yao ya soka.Kumbe hata huko mbele watu wameshaanza kuhis hizi match zinapangiwa matokeo,hili tukio limetokea janaView attachment 3247371
jAmaa baada ya kufunga alitolewa na kocha wake,kwenye comments kuna raia kasema huyo alietakiwa kupiga penati,ameshakosa penati kama tatu zilizopita,hapo chini ni baadhi ya comments za wadau
View attachment 3247375View attachment 3247376
Weka magoriPorto inakuaje leo wazee.
Hata ukisema uwe unachukua timu moja lazima kuchanika kwa mkeka kuko pale pale.Ukifanya analysis yako vizuri ukapata mechi zisizozidi nane zenye uhakika na odds zisizozidi 3 mara nyingi utakuwa unafanikiwa. Let's say umeweka mikeka mitano kila mkeka shilingi elfu tano na odds 2 halafu mikeka mitatu ikakubali miwili ikachanika bado una faida
SAWAWeka Simba win chap 1:80
Usiache hizi.