Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bet pawa
 

Attachments

  • 20250224_195908.jpg
    20250224_195908.jpg
    213.1 KB · Views: 2
Kumbe hata huko mbele watu wameshaanza kuhis hizi match zinapangiwa matokeo,hili tukio limetokea janaView attachment 3247371
jAmaa baada ya kufunga alitolewa na kocha wake,kwenye comments kuna raia kasema huyo alietakiwa kupiga penati,ameshakosa penati kama tatu zilizopita,hapo chini ni baadhi ya comments za wadau
View attachment 3247375View attachment 3247376
Kaka huko Italy kwenye maswala ya kupanga matokeo huwa wanajivua ubinadamu kabisa. Ushahidi kwenye mamlaka yao ya soka.
 
Nasisitiza tena acheni kuweka timu nyingi na odds kubwa. Betting is a statistical mathematics. Mtaishia kuliwa pesa na kulia kila siku. Angalieni mfano wa betslips ninazopost hapa. Utakuta kama mkeka umeharibika mara nyingi ni timu moja tu imeharibu na Kama ilikuwa ni timu ya mwisho mtu anakuwa na option ya cashout
 
Ukifanya analysis yako vizuri ukapata mechi zisizozidi nane zenye uhakika na odds zisizozidi 3 mara nyingi utakuwa unafanikiwa. Let's say umeweka mikeka mitano kila mkeka shilingi elfu tano na odds 2 halafu mikeka mitatu ikakubali miwili ikachanika bado una faida
 
Najua kutakuwa na penalty kutoka PANDE yoyote

Ft yanga atashinda

JUMLA ya magoli wakamaria mnaweza weka 3+/2+

Sijawaacha pia mnaweza weka magoli MENGI KIPINDI CHA pili Ina 2.50 odds mpaka sasa

Wafungaji kati ya Hawa

Aziz k
Max sengele
Mzizeee(huyuweka mzigowakutosha)
Dube
Abuya


Simba waakiingia kwenye mfumooooo WA YANGA


Naziona 5 nyingine

Otherwise namtakia Refa atakaechezesha kila la kheri na ajipange wachezaji wote na mashabiki wameapa hawatakubali kuona uonevu kwenye hii mechi

Wale mtakaokuwa mmefunga NANYI nawatakia kila la kheri mpia


Kwa mashabiki WA Simba mliofunga
KUFUNGWA NAYO n Ibada

Pdidyjr@2025
 
Huitaji kutabiri, izi timu ki uwezo zimetofautiana sana.
Kama Marefa wangekua makini ligi ya msimu huu Yanga wangekua wame waacha Simba mbali sana kwa point.

Inatumika nguvu kubwa kulazimisha Simba iwe apo ilipo.
Tarehe 8 kama waamuzi watakua makini zipo goli za kutosha na kadi nyekundu.
Jana Ngoma na Kagoma hawakustaili kumaliza mechi bila mmoja katiyao kupewa kadi nyekundu.
 
Ukifanya analysis yako vizuri ukapata mechi zisizozidi nane zenye uhakika na odds zisizozidi 3 mara nyingi utakuwa unafanikiwa. Let's say umeweka mikeka mitano kila mkeka shilingi elfu tano na odds 2 halafu mikeka mitatu ikakubali miwili ikachanika bado una faida
Hata ukisema uwe unachukua timu moja lazima kuchanika kwa mkeka kuko pale pale.
Haya mambo hayana mwenyewe
 
Back
Top Bottom