Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwenye michezo ya kubet hata ukibet pundamilia aliwe na mamba utashangaa mamba ndo analiwa na pundamilia na mkeka unachanika 🤣🙂🚩
1741244199370.jpg
 
Kuna mechi ya under 19 kati ya Salzburg na Athletic Madrid! Kwa kukuza vijana wakali na kuwauza Salzburg wako vizuri wana vijana wazuri na wapo home Kama una roho ndogo wape watoe goli moja wenyewe over 0.5 wana odd 1.21
Halafu kuna mechi ya Bunley na Cadif hapo England Championship kama kawaida Bunley kufungwa ni Ngum sana na anataka kukomaa apande daraja arudi ligi kuu hivyo mpe win or draw hawez kufungwa ana odds 1.21.
Nenda pale Uefa kuna Deby ya real Madrid na Athletic Madrid mpe Real Madrid win or draw ana odds 1.25
Nenda pale kwa matajiri wa Africa ligi ya Misiri kuna Zamalek anacheza pale mpe win or draw! Ukijumlisha hapo unapata odds 2+ weka mzigo tulia usiongeze timu usipunguze timu! Hapa kanji anakaa!
zilitoa kwa aliyeweka mzigo
 
📶📌LINEBET

LINEBET PROMO CODE👉 3BUZA

Jiunge na Linebet promo bofya link 👇kujiunga

Sehemu ya Promo Code wrka👉 3BUZA
 
Back
Top Bottom