Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah? Thanx higuian na napoli yako. Wiki nzima nilikua sijamchungulia kanjubahi. Hali kadhalika thanx kwa benteke na vila, sundland na atletico madrid
 
Sahivi hali ni ngumu sababu timu zimejipanga upya na usajili pia unafanya mechi ziwe unpredictable
 
Kaka,chelsea na alaaniwe yeye pamoja na stoke..

"Nlikuwepo":bolt:

hahahah ulimpa stoke dhamana kwa sundland? Tena stadium of light? Yan sahv ukiona sundland yupo home we mpe tu mkeka, ni wagum sana kufungika kwao waulize man u,mancity,chelsea
 
Baada ya siku3 bila mafanikio jana muhindi kaingia king! Leo nimempa psg,besktas,dortmund. Mkeka mwngine anges,dijon na ile timu ya 18 kwny mbet. Pia nimempa handcap psg na besktas,so na tumikeka tu3 hapa!
 
wakuu jana kulikuwa na team ambayo kifupi chake ni BSC ....anayejua jina la hiyo team msaada tafadhali...
 
Baada ya siku3 bila mafanikio jana muhindi kaingia king! Leo nimempa psg,besktas,dortmund. Mkeka mwngine anges,dijon na ile timu ya 18 kwny mbet. Pia nimempa handcap psg na besktas,so na tumikeka tu3 hapa!

dotmund ya siku hizi inazingua sana, yani jamaa wameweka nguvu kwa uefa tu.
 
jamani jana nimeshinda bt up to this time sijaona kitu kwa mpesa
 
jamani jana nimeshinda bt up to this time sijaona kitu kwa mpesa

usiwe na hofu mashine ndo inalipa sometime hata usiku ndo mzigo unaingia. Cha msingi tunza ile sms ya tiketi namba kwa emegence.
 
Back
Top Bottom