Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah leo kanjibah katuweza! Barca,man u washapgwa hadi sasa. Liverkusen na schalke dkk ya 85 bila bila. Shikamoo kanjibah kale kahela kajana umekachukua tena

Leverkusen 2-1, Schalke 2-1 Usikate tamaa mapema kiac hiki..
 
C.E.O rock city native mbona haonekani humu ???
 
wakuuu nani alimwekea valencia leo?
mikeka imechanika vibaya mno hii siku siyo nzuri ngoja nikalale kabisa
 
Mi kamakawa mwanangu sundland kaniamsha tajiri pamoja na shalke 04,levekusen,mainz
 
Hivi ukiweka mechi lets say 5 na ukakosea mojawapo au mbili ndo unakuwa umekosa kabisa au utapata kwa zile ulizopatia?
 
C.E.O itakubidi tufanye kikao cha dharura ( cobra) , mikeka yetu inazidi kuchanika kie kie kie
 
Kesho naamini nitaweka mzigo na kutoka na mtaji wa kuamkia jumatatu..
Ila chrlsea kumpa ni mwiko kwangu,labda acheze na ruvu shooting..

"Nlikuwepo":bolt:
 
Back
Top Bottom