Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
sunderland west ham nipen raha leo nilijaribu kua tofauti
paka mbaya noma sana,ulianzaje kumpa sunderland!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sunderland west ham nipen raha leo nilijaribu kua tofauti
Dah leo kanjibah katuweza! Barca,man u washapgwa hadi sasa. Liverkusen na schalke dkk ya 85 bila bila. Shikamoo kanjibah kale kahela kajana umekachukua tena
paka mbaya noma sana,ulianzaje kumpa sunderland!
leverkusen 2-1, schalke 2-1 usikate tamaa mapema kiac hiki..
wakuuu nani alimwekea valencia leo?
mikeka imechanika vibaya mno hii siku siyo nzuri ngoja nikalale kabisa
Mi kamakawa mwanangu sundland kaniamsha tajiri pamoja na shalke 04,levekusen,mainz
Hahahahaaa
Mi kamakawa mwanangu sundland kaniamsha tajiri pamoja na shalke 04,levekusen,mainz
duh kie kie kie kie kie kiemkeka umepata ajali mbaya sijawahi iona hakuna timu hata moja niliyoiwekea mzigo imeshinda
Ngoja nisepe manake hapa hata sijui kinazungumziwa kitu gani.
mkeka umepata ajali mbaya sijawahi iona hakuna timu hata moja niliyoiwekea mzigo imeshinda
Leverkusen,Schalke04,Augsburg,Mainz05,Leicester,Ipswich,Monaco.
Hivi ukiweka mechi lets say 5 na ukakosea mojawapo au mbili ndo unakuwa umekosa kabisa au utapata kwa zile ulizopatia?
hakunaga hiyo utabiri wako inabidi uwe 100%.