Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo mbuzi washiba mapemaaaaaa mikeka yote mapemaaa
 
Game limebadlika sana siku hiz ni bora ubet timu moja tu
 
Hata hio game 1 sometimes unaumia, mfano leo nimeweka barca €25 chaliiiiii, naangalia dunia tu hapa 🙂[/QUOTE

Mfano $ 15 barca na 10 ungempa valencia ushind suluhu tu. ungeokoa iyo pesa na kupata faida kias
 
Kama ningetupa €25 kwa valencia ningeondoka na €150 na ushehe! Swali, je utabet against Barca ndani ya Nou Camp????
 
Madrid,atletico madrid,roma,celtic,bayern munich,juve anamchapa inter leo.
 
Mi mkeka wangu juve,hetha berlin,notingham forest na asnal naweka mpunga mrefu
 
Napoli,espanyol,paok,liver,ajax,Lyon, helas verona.
 
Back
Top Bottom