east36
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,306
- 492
I see!Thanks mkuu.Ni bora kuweka mech chache if that is the case..!
Mech chache hata ukimpiga mara kumi anarudisha pesa yake fastaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I see!Thanks mkuu.Ni bora kuweka mech chache if that is the case..!
Monaco nimekufanya nn? Kila siku nalia timu moja tu kwa ninii?? Daah 🙁
Mech chache hata ukimpiga mara kumi anarudisha pesa yake fastaa
Game limebadlika sana siku hiz ni bora ubet timu moja tu
Anarudishaje mkuu?Mfano nimebet mechi mbili za 2.5 na 2.0 na kupatia.Nikapata 22500 kwa buku 5.Anarudishaje fasta sasa?
Hata hio game 1 sometimes unaumia, mfano leo nimeweka barca 25 chaliiiiii, naangalia dunia tu hapa 🙂[/QUOTE
Mfano $ 15 barca na 10 ungempa valencia ushind suluhu tu. ungeokoa iyo pesa na kupata faida kias

Kama ningetupa 25 kwa valencia ningeondoka na 150 na ushehe! Swali, je utabet against Barca ndani ya Nou Camp????

hata siku moja, bora ubet mancity anafungwa etihad kuliko barca ndani ya nou camp. Ni bahati mbaya tu imetokea
Hata hio game 1 sometimes unaumia, mfano leo nimeweka barca 25 chaliiiiii, naangalia dunia tu hapa 🙂[/QUOTE
Mfano $ 15 barca na 10 ungempa valencia ushind suluhu tu. ungeokoa iyo pesa na kupata faida kias
Ingeisha suluhu je? Maumivu pale pale..
mjomba mkeka mkubwa huo fanya utaratibu upate kijijamvi ( 3-4 teams)Madrid,atletico madrid,roma,celtic,bayern munich,juve anamchapa inter leo.
Madrid,atletico madrid,roma,celtic,bayern munich,juve anamchapa inter leo.
mjomba mkeka mkubwa huo fanya utaratibu upate kijijamvi ( 3-4 teams)
Napoli,espanyol,paok,liver,ajax,Lyon, helas verona.
Mkuu una bahati mbaya ajax keshachana mkeka
Kama ningetupa 25 kwa valencia ningeondoka na 150 na ushehe! Swali, je utabet against Barca ndani ya Nou Camp????
Hii yataka Moyo, Labda uwe kijukuu cha mtume kama mimi ndio unaweza kuotea hii kitu.