Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka miwili,mmoja nimemuua Man city na Villareal..
Wa pili nimemuua Chelsea na huyu mpinzani wa Villareal nani tena vile...aahh.
Sema mkeka wa kwanza wananipa laki saba kama ukitoka poa na huu wa pili unatoka sitini elfu.

"Nlikuwepo":bolt:
 
M-bet inanizingua nilishaitumia siku moja nikalipa na pesa halafu baadaye nikaambiwa namba siyo sahihi huwa naenda mtaani tu kwenye vibanda.

Lakini jana jamvi langu lilichanwachanwa na Liverpool na Napoli!...

Labda sio M Bet maana hiyo hairuhusu ku bet mechi moja, ni kuanzia Mbili.
 
Mikeka miwili,mmoja nimemuua Man city na Villareal..
Wa pili nimemuua Chelsea na huyu mpinzani wa Villareal nani tena vile...aahh.
Sema mkeka wa kwanza wananipa laki saba kama ukitoka poa na huu wa pili unatoka sitini elfu.

"Nlikuwepo":bolt:

Mbona imekuja pesa ndefu kiac hiko embu tupe maujanja.
 
city leo ukimpa goli 4 odd ni 9 ukitia msimbazi una 90

chelsea win kwa goli 4 odd ni 25 ukitia msimbazi una kilo 2 na nusu
 
U21 za england zote weka 2-4 ongeza empoli v palermo, nancy v la harve, jong psv vsparts odd inakuja kitu kam 60 ukitia msimbazi kilo sita ina kungoja
 
M-bet inanizingua nilishaitumia siku moja nikalipa na pesa halafu baadaye nikaambiwa namba siyo sahihi huwa naenda mtaani tu kwenye vibanda.

Lakini jana jamvi langu lilichanwachanwa na Liverpool na Napoli!...

itakua ulikosea namba ya risiti. Mbona kawaida tu inatokea mtu kukosea na kesho yake wanakurudishia hela yako
 
Ushauri wa bure,game ya leo ( man city vs chelsea) ngumu, mie nasave kamtaji kangu mpaka weekend
 
bet mchezo mbaya sana, yani najuuta kuufahamu.....!!!!

man city niljua anaua mtu, nikamuwekea mzigo wa maana, kilichotokea uuuuwwwwiiiii.....!!!!

mamaaa hawa watu wa bet ni wachawi.....!!!!

kobun au kaka nimekwombwa huku vipesa vyote na bet tasavali nikopeshe kitu angalau wiki iishe, sirudi tena ujinga huu!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom