Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sina hamu na kubet tena walichonifanya man city siwezi sahau.
 
Wakongwe was kubet hua hatubet big match hazitabiriki baba
 
bet mchezo mbaya sana, yani najuuta kuufahamu.....!!!!

man city niljua anaua mtu, nikamuwekea mzigo wa maana, kilichotokea uuuuwwwwiiiii.....!!!!

mamaaa hawa watu wa bet ni wachawi.....!!!!

kobun au kaka nimekwombwa huku vipesa vyote na bet tasavali nikopeshe kitu angalau wiki iishe, sirudi tena ujinga huu!!
Chezeya chelsea weye!?. pole sana mkuu. Baadae ntapita hapo.
 
Last edited by a moderator:
Jana nilimpa chelsea ila sikuweka mzigo baada ya kusoma post za wadau walivyokua wanaisifia city
 
Kumbe hii michezo yenu inahitaji ndumba eeh!?kuna jamaa leo mtaani amepata m2.8 kwa jero tu na muda huu ndio anaenda kariakoo kubeba mzigo wake sasa hao wapambe loh,
wenyewe wana lugha zao "ntoe utumbo" yani wanamsindikiza kama lipumba anaenda kuchukua fomu ya kugombea urais,
ila kuna jamaa amenitonya mawiki kadhaa yaliyopita kuna mtu alipiga m8 kavu.
 
kwa jero tu!?
 
kwa jero tu!?

jero tu mkuu,amini hivyo!ndio maana nakwambia wengine ndumba tu,ni kujaza timu nyingi na kuzikataa zile zinazopewa nafasi kubwa kushinda mf. Man city na watford ukampa watford,na ile mi handcap ndio ina pesa kwelikweli
 
Duh hii ni zaid ya madawa ya kulevya

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
bet mchezo mbaya sana, yani najuuta kuufahamu.....!!!!

man city niljua anaua mtu, nikamuwekea mzigo wa maana, kilichotokea uuuuwwwwiiiii.....!!!!

mamaaa hawa watu wa bet ni wachawi.....!!!!

kobun au kaka nimekwombwa huku vipesa vyote na bet tasavali nikopeshe kitu angalau wiki iishe, sirudi tena ujinga huu!!

Hahahaa pole sana mkuu, leo Nacional,fiorentina,psg na fulham uhakika.
 
Last edited by a moderator:
jana niliweka laki moja chelsia wanashinda nikapata laki nne na nusu iviii...niliweka mechi moja thanks chelsia na meridian..weekend itakuwa nzuri xanah
 
Unakuja huku kututambia tu eeh, wakati unaweka hukutukumbuka 🙁
 
hahahah asilimia kubwa watu wana mikeka yao mioyoni siku ikibuma hawatangazi. Kimya kimya mtu na maumiv yake. Itabidi tuchonge na watu wa tigo au airtel nao wafanye mchakato na meridian wafanye kweli. Huyu mdosi na voda wanabana sana odds.
 
Ushauri wa bure! Kabla ya kubet hakikisha nyumbani umeacha hela ya mboga,watoto ushawapa hela ya shule, na gari ushatia full tank au una nauli yako kibindoni...... kie kie kie
 
Back
Top Bottom