Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
Sina hamu na kubet tena walichonifanya man city siwezi sahau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chezeya chelsea weye!?. pole sana mkuu. Baadae ntapita hapo.bet mchezo mbaya sana, yani najuuta kuufahamu.....!!!!
man city niljua anaua mtu, nikamuwekea mzigo wa maana, kilichotokea uuuuwwwwiiiii.....!!!!
mamaaa hawa watu wa bet ni wachawi.....!!!!
kobun au kaka nimekwombwa huku vipesa vyote na bet tasavali nikopeshe kitu angalau wiki iishe, sirudi tena ujinga huu!!
Kumbe hii michezo yenu inahitaji ndumba eeh!?kuna jamaa leo mtaani amepata m2.8 kwa jero tu na muda huu ndio anaenda kariakoo kubeba mzigo wake sasa hao wapambe loh,
wenyewe wana lugha zao "ntoe utumbo" yani wanamsindikiza kama lipumba anaenda kuchukua fomu ya kugombea urais,
ila kuna jamaa amenitonya mawiki kadhaa yaliyopita kuna mtu alipiga m8 kavu.
kwa jero tu!?
jero tu mkuu,amini hivyo!ndio maana nakwambia wengine ndumba tu,ni kujaza timu nyingi na kuzikataa zile zinazopewa nafasi kubwa kushinda mf. Man city na watford ukampa watford,na ile mi handcap ndio ina pesa kwelikweli
Duh hii ni zaid ya madawa ya kulevya
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
bet mchezo mbaya sana, yani najuuta kuufahamu.....!!!!
man city niljua anaua mtu, nikamuwekea mzigo wa maana, kilichotokea uuuuwwwwiiiii.....!!!!
mamaaa hawa watu wa bet ni wachawi.....!!!!
kobun au kaka nimekwombwa huku vipesa vyote na bet tasavali nikopeshe kitu angalau wiki iishe, sirudi tena ujinga huu!!
jana niliweka laki moja chelsia wanashinda nikapata laki nne na nusu iviii...niliweka mechi moja thanks chelsia na meridian..weekend itakuwa nzuri xanah
Unakuja huku kututambia tu eeh, wakati unaweka hukutukumbuka 🙁
hahahaa pole sana mkuu, leo nacional,fiorentina,psg na fulham uhakika.
odd zao ni ngapi hapo? Vipi vitese leo?
mkuu wewe si mtu mwemaHahahaa pole sana mkuu, leo Nacional,fiorentina,psg na fulham uhakika.
mkuu wewe si mtu mwema
Ushauri wa bure! Kabla ya kubet hakikisha nyumbani umeacha hela ya mboga,watoto ushawapa hela ya shule, na gari ushatia full tank au una nauli yako kibindoni...... kie kie kie