Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Buku kwa 19,902...meridian kibok😵dds zao ziko poa sana.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Najuta yaani!! 🙁

hahahhahaah
mkuu una kimavi wewe
asilimia kubwa ya mikeka yako inaliwa na mbuzi Pole Sana mimi ngoja nisubiri gemu za wikendi manake wiki iliyopita muhindi alikamata vibaya .Nina kisasi naye
 
Pole ndugu nilikuwa mbali leo, kw aharaka haraka mechi za uwakika kwa M-bet ni BRAGA, AJAX, aletico national .

Niweka 20 nategemea 35. hizi mechi ni za uwakika.

Mwambie ajaribu hizi za leo lazima apige.
 
hahahhahaah
mkuu una kimavi wewe
asilimia kubwa ya mikeka yako inaliwa na mbuzi Pole Sana mimi ngoja nisubiri gemu za wikendi manake wiki iliyopita muhindi alikamata vibaya .Nina kisasi naye

We acha tu mkuu. 🙁
 
Mkeka wa weekend nshaupanga lakin liverpool vs arsenal bado inaniumiza kichwa sijui nimpe nani

Na pia astonvilla vs westham nao naona kama wataniharibia weekend
 
Ukiona timu inakupa tabu iache, usiumize kichwa
 
Samahani sana naona nimekutilia gundu tu.. 🙁

Kijana Gundu Gani na Mzigo tumepiga ?

Braga kapiga 3-1
Ajax kapiga 2-1
Nacionale kapiga 5-1

Tena nilitaka kuweka HandCup ila nikaona hailipi nikachomo na kucheza kawaida.

Uliweka Ngapi?

Wewe ukiwa na Mimi na kufuta Ushahuri kila siku utakuwa Mshindi Tu.
 
Mkeka wa weekend nshaupanga lakin liverpool vs arsenal bado inaniumiza kichwa sijui nimpe nani

Na pia astonvilla vs westham nao naona kama wataniharibia weekend

Kijana Usiwe na Papara tulia, Watch out here Jmosi kabla ya saa Tano nitaweka kila Kitu.

Pia sio Lazima Ubet kila Mechi.
Mechi kama ya Astonvilla huwa tunasema ni za Hela nyingi na hata ukiangalia return yake ni kubwa so lazima uwe makini unapocheza.

Nitakuwekea mecho zote za Uwakika na Za Mashaka.

Ila kwa ushahuri Kama una 10 kwa kuweka basi Mechi ya Uwakika unaweka 8 na ile ya shaka unaweka 2.

Unahakikisha u dont put all eggs in one Basket.

Turudi kwenye hizo Mechi:-

Ni Obviously kwa Beki na kiungo cha liver kilivyo sasa na pia Stiker yao ya SAS haijawahi kufunga Top 4 yeyote na ukiweka Stiker na Kiungo cha Arsenal bila kusahau beki yao ni Dhahiri Liver anapigwa.

Astonvilla kwa sasa ni Rejevunated timu majeruhi karibu wote wamepona hasa Striker benteke viungo madogo wakina Delph na tabia ya westham kucheza defensive hakika hii Westham anapigwa au ni Droo.

Bado nakushahuri mechi hizi sio za kubet kama unahela ya mawazo.

Bora hata ya Arsenal kuliko Villa.
 
unapobet game yoyote ya vila tegemea chochote kutokea jamaa huwa hawatabiriki hata kidogo. Unaweza ukawaua tena ugenin lakin jamaa ugenini ndo wakali zaidi. Mi sina hamu nao kabisa wameshaniulia mikeka mingi sana.
 
Ni kweli kabisa ndio maana nimesema Hii mechi haifai.

Pia wanakuwa wakali ugenini kwa kuwa wanacheza Conter attack na kawaida timu ya Nyumbani huwa inafanya offence na kwa kitendo hiko huacha nyuma wazi na Villa wakikukamata lazima watupie maana wana speed kama mbaya kwenye mashambulizi ya kustuykiza na hilo lilimkuta Arsena na juzi kati Liver alilia.

Kumbuka westham pia wako hivyohivyo. Wanakaa nyuma sana na kusubiri counter.

Kifupi subirini kesho nitawawekea mapema game za uwakika na za Mashaka na nitakushahuri jaribu za uwakika na za mashaka at ur own risk.
 
inabidi kesho mapema tu utuchambulie game za kuweka maana kijana sahiv una upepo mzuri.
 
Kijana Gundu Gani na Mzigo tumepiga ?

Braga kapiga 3-1
Ajax kapiga 2-1
Nacionale kapiga 5-1

Tena nilitaka kuweka HandCup ila nikaona hailipi nikachomo na kucheza kawaida.

Uliweka Ngapi?

Wewe ukiwa na Mimi na kufuta Ushahuri kila siku utakuwa Mshindi Tu.

We kibanga braga kalimwaga droni dk90 hakuna pesa apo.....kashinda usikuu
 
Mbrazili

nadahani hauko makini au hujaangalia vizuri,
ile ilikuwa ni mechi ya mtoano, na dakika ziliongezwa mapaka 120, braga akapiga 3. mbona mbishi hivi?
Subiri jioni nikilipwa nitakuwekea msg hapa.

By the way kama kusoma hujuhi AGALIA PICHA BASI.

attachment.php

braga.jpg
 
Back
Top Bottom