Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimeweka mda si mrefu
 
Attachments

  • 1392141057429.jpg
    1392141057429.jpg
    50.4 KB · Views: 269
Naona chelsea kawanyima watu cap na leo liverpool nae atawanyima cap kuweni makini

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Karibu sana, hapa tuna sheria yetu, kabla ya kuweka mkeka hakikisha nyumbani umeacga hela ya mboga.... kie kie kie

swansea majeruh weng wamepona

Cap leo Man U na gol lake pmoja na swansea na gol lake

Mkuu swansea hawezi shinda kwa stoke man u mwenyewe alikaa pale bora uwape draw cap

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Nafikiria kuwapa liver,everton,napoli na galatasaray Wote Cap
 
Nimewapa barca,bayern,liverkusen,galatasaray. Leo kwa kanjibah kuna jamaa kaweka jero na mkeka umesoma milioni 2 na laki3!!
 
Dah hamna ela rahis dunian. Kuna jamaa kashaniaribia mkeka. Mwenye timu tano za uhakika jaman anirushie nataka kutupa mwekundu nipunguze machungu kesho
 
Dah hamna ela rahis dunian. Kuna jamaa kashaniaribia mkeka. Mwenye timu tano za uhakika jaman anirushie nataka kutupa mwekundu nipunguze machungu kesho

Leverkusen,galatasaray,everton,napoli na bayern.
 
Back
Top Bottom