paka mbaya
Senior Member
- Jan 11, 2014
- 169
- 49
Asee hiyo iplay mbona nikimaliza kujaza detail sioni sehem ya kuregister ????
Tumia browser inayo support flash player plugin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee hiyo iplay mbona nikimaliza kujaza detail sioni sehem ya kuregister ????
Bye muind & mbet
Haya Tuweke mikeka yetu sasa ya leo
wadau naomba mtu anisaidie process za kujinga na meridian
wadau naomba mtu anisaidie process za kujinga na meridian
sasa kaka nataka kujiunga but mwenzio cjui procedures.unaweza nisaidia kupata maelezo ya kina?
Fungua website yao, www.meridian.co.tz
Nenda sehemu imeandikwa join now
Utajaza details zako, kama majina, email, DOB, etc
Then kuna sehemu huwa inachanganya kwenye adress andika physical mail yako like mtaa
Then kwenye post code weka namba za box ya posta yako
Then utachagua country, njia ya malipo etc
Ukimaliza hapo watakutumia codes flani kwenye mail yako ambazo ndio utakua unazitumia kujaza hela na kutolea hela....
Then kama unataka kuweka hela unaenda kwenye duka lolote la meridian popote lilipo unajaza hela.........
Betting amount zake ni kuanzia sh 100