Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wa iplay8 naomb kuelezwa mana ya fourtfold 5fold nk
double=mkeka wa timu mbili.
Treble=mkeka wa timu tatu.
fourthfold=mkeka wa timu nne.
5fold=mkeka wa timu tano.
hata mm nlielewa ivo ila nikiweka haikubal
Weka kulingana na idadi ya mechi ulizoweka kama ni tatu unaweka pesa kwenye treble
Ukitaka kujua tiketi ulizobet unachek wapi? Ambazo umeprint
Tuziache ache ziendelee kuzaliana..
Namsubir man u nipige dola 200 pia mkeka mwingine nao roma nipige dola 200 zingine
Leo kweli nimetajirika i cant believe nimepiga $400 kwa$14
Duuu mkuu usinisahau huo mpunga
kwa hiyo?
We unadhani wote humu wanafuata korani au biblia?
Haramu kwako kwetu halali