Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu siyo lazima u-log out unabofya pale kushoto mwa logout kwenye my account inakuletea hiyo account menu yenye

hizo habari zote za deposit,bet hist etc...

Uki log in nenda menu kisha betting history, kama upo logged in tayar itabid ulog out kishi login tena..
 
Leo hii----Parma,juve,atletico madrid,bayer leverkusen,benfica,porto,salzburg,PAOK,Astromitos,rangers
 
Mkuu siyo lazima u-log out unabofya pale kushoto mwa logout kwenye my account inakuletea hiyo account menu yenye

hizo habari zote za deposit,bet hist etc...

Ahsante sana mkuu nilikua nahangaika bure yaan ckujua kama sehem hiyo ipo...
 
Leo mainz,munich,roma,arberdeen st.johnstone,galatasaray,man city,arsenal
 
Leo hii:.....Galatasaray,bayen,palermo,airbus,roma,arsenal,crusaders,dundee fc,athletic bilbao
 
Back
Top Bottom