Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ligi zilizobaki ni majanga yani unampa mtu apiGe cap alafu yeye ndie anapigwa Cap Dah!
 
Hand cap sijawahi itumia maana siifahamu vizuri
Ila leo kwa madrid na atletico naona wameiwekea lucky 5 ya fouls points 4
 
kidogo nivunje laptop yangu kwa 32000 kwa 2000 tu yaani leo yote nampa Real
 
baaad ya QPR kupewa 11 odds nikaona si mbaya nikimpa 1000
Afu wakaongeza hapo hapo ikawa 21 nikawapa tena kwa 1000
 
Mara ya Kwanza
Capture.PNG
Mara ya pili baada ya dakika 2 tu ikawa hivi
Capture 1.PNG
 
Hivi kuna mtu aliwahi tumia Lucky 5 kwenye betting?
Leo naona Real kapewa 2.02 meridian
 
Nahisi andybird314 keshavunja laptop yake,, fredericko keshaenda kulala tayar.. :sad:
 
Back
Top Bottom