Mikoa 10 bora ya kuishi Tanzania

Mara mia Mwanza,hayo maeneo mengine ni very prone kwenye Mafuriko
Nafkiri bado haujawahi izunguke Arusha...
Wilaya ya Longido na Monduli,kamwe haiwezi kumbwa na mafuriko, mana ni kame sana.
Wilaya ya Karatu sahau,,,
Hapo
Arusha mjini sehemu zenye kujaa maji ni chache sana,,,yaani sana
labda Wilayani Meru
Yani unavyoina Mbeya mjini na miunuko, ndiyo sawa na Arusha mjini....
 
Mtu na akili zako timamu huwezi kwenda kuishi Unguja. Kunawafaa wenyewe tu. Viongozi wao wote wastaafu wanaishi Masaki. Amani Karume mara nyingi sana namuona Kempiski Kilimanjaro hotel anapiga maji
Ww ndugu wa dam una ubaguzi tu
Faham zanzibar wanaishi wtu wa nchi kutoka pembe tafaut za dunia. wzungu,waarabu,wahindi wachina n,k km huelew zanzobar ina mchanganyko wa wtu wenye asili ya nchi tafauti duniani zama kwa zama Na ndio mana wazanzibari wengi sana Wk njee ya Africa wamejiwekeza zaid kiuchumi huko. Pia usishngae wastaafu kuwaona Wk dar elewa ukanda wa pwani (east afrika)yte lilikuwa sehem ya eneo la zanzibar Kabla ya kuwepo hata Hiyo tanganyka inokupa kiburi cha ubaguzi Leo Hii kasome historia vizuri ujifunze usikurupuke tu
Na hata hivyo wastaafu kuwaona dar wko hp kwao kwa ndugu zao wazanzibara (wtu wa ukanda wa pwani ) hawa huwezi kuwatenganisha Na wazanzibari (unguja Na pemba )ukiwaona mikoani bara hko ndio ushangae lkn kwa eneo lolote la pwn wanajiskia wko nyumbani km una chuki yako baki nayo tu.

Ila jiulize kwnn takwim kwa Mwaka huu zimetolewa Kuwa kiwanja cha ndege Bora Africa ni uwanja wa Abeid A Karume (unguja ) pia Kwanini zanzibar iko vizuri kwa biashara ya utalii kwa east Africa ikifuatiwa Na Kilimanjaro na Arusha kwa tz maana yk zanzobar kiuchumi iko vizuri ingawa nikisiwa Na idadi ya watu wachache wanao ishi uki linganisha Na mkoa mmoja wa tnz bara (tanganyk ) acheni chuki za kipuuz zanzibar beautiful island .

Na wtu km nyny ndio mno sababisha wazo la passport ili tujikinga Na chuki zenu za (ukabila udini na ukanda)mlokua nazo moyoni mwenu.
aya mambo ubaguzi yana athr mbaya mno kwa usitawi wa taifa la tnz

Tunaelewa zanzibar ni kikwazo kwa wale mnaomalengo ya kutaka kuja Kuwagawa watanganyka weznu Na hilo ndio lengo lenu ila saiv mnajifch kwa mgongo wa chuki zidi ya zanzibar.(muungano ) Basi tumekushtukien mapema mbona tu Kuwa makini mna Zamira chafu.

Sio wte ndugu zetu wa dam badhi kila inapo tajwa zanzibar kwa Wema Basi yalokua moyoni mwao wnayatoa hadharani ila roho mbaya na chuki haijengi bali ni chanzo cho mfarakano ya wenyw kwa wnyew .
 
Yote hayo...
 
Hakuna mkoa bora wa kuishi kama tanga
Vyote ulivyotaja vipo, bandari, mpaka na inchi jirani, ardhi safi, viwanda, matunda, chakula na kila chema
Sema ni serikali iiwache tu, isiibane kwa sababu wanazozijua za kudhoofisha.

tanga itakuwa mbali sana

Zamani ilikuwa ndio kimbilio la wengi kabla ya kuminywa kiaina kutokana na... au basi acha tu
 
Mtu na akili zako timamu huwezi kwenda kuishi Unguja. Kunawafaa wenyewe tu. Viongozi wao wote wastaafu wanaishi Masaki. Amani Karume mara nyingi sana namuona Kempiski Kilimanjaro hotel anapiga maji
Bado inaitwa kempisk kwani
 
Ishi kokote duniani si sumbawanga kivuli chako mwenyewe kinaanza kukufanyia vituko we unatembea chenyewe kinasimama.Kuna jamaa kivuli chake kilimgomea kumfuata kilisimama kisha kikaanza kurudi alipotoka ikabidi jamaa aanze kukifuata,kilipoona usumbufu kikatoka nduki jamaa akawa anakifukuza huku analia
 
Kama unataka hela fanya kazi na watu wa Dar es salaam , au mikoa ya kaskazin hasa Kilimanjaro na arusha hawa watu hawana bambamba, wamenyooka Sana , mikoa mingine wanaunga unga sana
Wanakuambia mikoa ya kuishi Acha umaku wa ukabila wewe bwege
 
Popote utaishi Tu endapo hela unayo, hakuna mkoa utakaoishi bila kupambana alafu ukafanikiwa kupata riziki, huo mkoa haupo. Popote utakapokuwepo lazima upmbane Tu Japo fursa zinatofautiana kutoka eneo moja kwenda jingine
 
Unguja daily nanunua maeneo nimezuga kusilimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…