Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waja leo,Nimezunguka na kufanya kazi mikoa kibao , chaguo langu la kwanza Tanga pili Dar basi...Sasa hivi nipo kusini ila Tanga nitarudi kuweka makazi ya kudumu,
Kwa Ngara,hapana kwakweli...yani pale mjini nilitumia kama dakika 45 kupamaliza...ukiwa na pesa Kila sehemu utaishi vzr mno...mfano Kule katavi Kuna bwana mmoja ana maisha yake safi na anaishi vzr ..pia kule wilayani Ngara Kuna waaarabi wa Ngara oil wanaishi vzr sana
Duh....Muungano na wala urojo ufeeee.
Dodoma imewekwa kisa ndiyo makao makuu ya nchi....Dodoma ipi mkuu!?
Dodoma labda huko mjini Swaswa,Ipagala na Kigamboni.
Ila nenda Ilolo Mpwapwa,Kibaigwa ingia ndani Msisigwa na Laikani.
Kuna mbu sijawahi ona.
Umeisemea Dom mjini ila sio vijijini.
Ndio maana ila kiuhalisia Dodoma haishawishi kukaa.Dodoma imewekwa kisa ndiyo makao makuu ya nchi....
Dar is Trash. Trash. Kila kitu ni mediocre. Kelele tu mingi. Hakuna maajabu bana we.Hukukaa Dar mzee umepita wewe.
Hiyo Mbezi unayosemea iwe Mbezi beach iwe Mbezi makabe kote maji shida na maji bei ghali sana kununua mpaka Kimara yote maji ghali.
Vyakula pia usiseme bei ghali sana.
Huko Msasani,Upanga,Mikocheni,Masaki na Oysterbay uwe na pesa hakuna wali wa buku kama Temeke na nyanya za 200 kama Temeke.Huko maisha bei ghali kwa matajiri.
Dar huijui wewe.
Maji ya visima nayo maji?Wanaosemaga Dar kuna shida ya maji sijui huzungumzia wapi...yaaani.
Sijajuaga kama vijijin kuna mb'u sema dodoma ni hapa town kweliDodoma ipi mkuu!?
Dodoma labda huko mjini Swaswa,Ipagala na Kigamboni.
Ila nenda Ilolo Mpwapwa,Kibaigwa ingia ndani Msisigwa na Laikani.
Kuna mbu sijawahi ona.
Umeisemea Dom mjini ila sio vijijini.
Imetumia nguvu kubwa na kuongea kwa uchungu Ila Moro eachwa mbali san na arushaKwa mkoa wa kuishi Arusha haunishauri.
Morogoro is 1000 better than Arusha in all aspects.
Maana Morogoro maisha rahisi,hali ya hewa nzuri naweza sema kuliko Arusha hususan ukitembelea Matombo,Kisaki na Mvuha huko uone matiririko ya mto Mmbezi.
Pia Morogoro ni Mkoa wa kistaarabu sio kama Arusha mji wa vijana WAVUTA BANGI,WALEVI NA WAPENDA NGONO NA WAKOROFI.
Dar ni financial hub ya Tz,kuna kila aina ya maisha.
Kuna kila aina ya makazi unayotaka wewe.
Tembelea Mbagala kuu/Kijichi,Somangira na Kisota Kigamboni uone mandhari nzuri,safi na inayovutia.
Huwenda umekaa Tandale mkuu ukasema Dar yote inanuka.
Mafuriko yanatokea mpaka major cities Marekani ndio ushangae huku? Natural disasters ni vitu vipo.Mzee ingia youtube andika mafuriko karatu ujionee maana mimi siwezi kuandika aya ndefu kitu ambacho hata kwenye vyombo vya habari walionyesha
bado mbu. Hekaheka za foleni na majotro. Maji ya kisima mara ya kununua, mji wa hovyo sana, very overrated. Dar is overrated unless hujawahi kwenda kwenye majiji ya kisasa.Watu mna list tu mikoa Yenu. Hakuna mkoa Bora kuishi kama A- Town. Dar ni joto na miharufu ya ovyo. Kila sehemu ni chafu. Sehemu nyingine ni njombe japo Kuna baridi lakini maisha ni rahisi. Kanda ya ziwa labda kagera ila mikoa mingine ni njaa tu, Dodoma futa kabisa kwenye list, huo mkoa si wakuishi ni ukame Kila kitu kinatoka singida, Iringa na morogoro. Hivyo maisha ya Dom ni gharama maana unaishi jangwani .
Kwahyo maji yanatokea wapi kama sio kuchimbwa kisima!?Maji ya visima nayo maji?
Sijatumia nguvu bali uhalisia.Imetumia nguvu kubwa na kuongea kwa uchungu Ila Moro eachwa mbali san na arusha
Pole yako huijui Dar es salaam.Dar is Trash. Trash. Kila kitu ni mediocre. Kelele tu mingi. Hakuna maajabu bana we.
Mataa mbona hata hku yapo!? Mnajkuza na kukuzwa tu na gvt but we all the same in other aspects
Pole sana mkuu ila hayo macho km kuugua hta ungekuwa Dar ungeugua tu pole sana, na ninakumini ila hta hpa Dodoma kuna watu wanaugua macho vlevle km ipo ipo haipo bas haipo, Mwanza nakupenda sababu ya hal ya hewa na zile milima zao bana 🙌 nkipata nafas lazma nkatoboe na mjengo hukoOmba tu bro isikukute, nipo Mwanza sijasafiri kabisa kutoka nje ya mkoa mwaka na miezi harakati zangu nafanya humu humu tu town ila nilipatwa na huo ugonjwa wa macho aisee ni balaa toka nazaliwa ndo nmeugua macho ukubwani ni ugonjwa wa kis*nge sana yamenitesa almost mwezi..
Hakuna sehemu ilokosa mbu.bado mbu. Hekaheka za foleni na majotro. Maji ya kisima mara ya kununua, mji wa hovyo sana, very overrated. Dar is overrated unless hujawahi kwenda kwenye majiji ya kisasa.
Joto kerobado mbu. Hekaheka za foleni na majotro. Maji ya kisima mara ya kununua, mji wa hovyo sana, very overrated. Dar is overrated unless hujawahi kwenda kwenye majiji ya kisasa.