greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
- Thread starter
- #101
Wanaosemaga Dar kuna shida ya maji sijui huzungumzia wapi...yaaani.We hukuishi Dar umepita Dar.
Sema Kigamboni ipi ina shida ya maji.
Maana hata mwaka juzi na jana kulivyokua na ukame Kigamboni ndio imetumika kusambaza maji Dar es salaam maeneo ambayo maji yalikua shida.
Kigamboni ina visima vingi binafsi na vya serikali pia.
Kipindi cha ukame ni Kigamboni pekeyake haikupata hadha ya maji pamoja na Temeke yote.
Vyakula kula kulingana na pesa yako huwenda labda wewe pesa huna.
Nenda Tandika na Stereo kuna mabanda ya kuku wa kizungu na wa kienyeji,wakizungu bei 7000 mzima wa kienyeji 18k mpk 20k.
Pia ukitaka vipande wanakukatia huyo wa kienyeji.
Mchele unaoliwa Dar ndio unaoliwa sehemu zingine maana Dar hawalimi halkadhalika nyanya na viungo vingine.
Mboga za majani Kigamboni kuna bustani kibao wanalima bila madawa.
DAR HUKUKAA WEWE UMEPITA TU.