Mikoa 10 bora ya kuishi Tanzania

ukiwa na pesa Kila sehemu utaishi vzr mno...mfano Kule katavi Kuna bwana mmoja ana maisha yake safi na anaishi vzr ..pia kule wilayani Ngara Kuna waaarabi wa Ngara oil wanaishi vzr sana
 
ukiwa na pesa Kila sehemu utaishi vzr mno...mfano Kule katavi Kuna bwana mmoja ana maisha yake safi na anaishi vzr ..pia kule wilayani Ngara Kuna waaarabi wa Ngara oil wanaishi vzr sana
Kwa Ngara,hapana kwakweli...yani pale mjini nilitumia kama dakika 45 kupamaliza...
Huduma za lodges ni so normal...
Umeme kila mda wakatika....
Ila
Kuna hali ya hewa nzuri sana...
 
Tabia zenu na ulaji mbovu ndio maana hamna imani na uhakika wa kukaa sehemu zisizo na huduma za afya mbona mkabila ya msituni hospital kwao sio kipaumbele.
Badili mfumo wako wa maisha na husiwe na hofu juu ya afya yako kwa imani utaishi hata porini.
 
Dar is Trash. Trash. Kila kitu ni mediocre. Kelele tu mingi. Hakuna maajabu bana we.
 
Imetumia nguvu kubwa na kuongea kwa uchungu Ila Moro eachwa mbali san na arusha
 
bado mbu. Hekaheka za foleni na majotro. Maji ya kisima mara ya kununua, mji wa hovyo sana, very overrated. Dar is overrated unless hujawahi kwenda kwenye majiji ya kisasa.
 
Imetumia nguvu kubwa na kuongea kwa uchungu Ila Moro eachwa mbali san na arusha
Sijatumia nguvu bali uhalisia.
Kimajengo ni sawa Arusha imejengeka,ila kwa life standards Morogoro kuna life standards kuliko Arusha.
Morogoro ni sehemu bora ya kuishi kuliko Arusha in all aspects.
 
Pole sana mkuu ila hayo macho km kuugua hta ungekuwa Dar ungeugua tu pole sana, na ninakumini ila hta hpa Dodoma kuna watu wanaugua macho vlevle km ipo ipo haipo bas haipo, Mwanza nakupenda sababu ya hal ya hewa na zile milima zao bana 🙌 nkipata nafas lazma nkatoboe na mjengo huko
 
Hakuna mj
bado mbu. Hekaheka za foleni na majotro. Maji ya kisima mara ya kununua, mji wa hovyo sana, very overrated. Dar is overrated unless hujawahi kwenda kwenye majiji ya kisasa.
Hakuna sehemu ilokosa mbu.
Kila sehemu ina mbu.
TANZANIA HAKUNA JIJI LA KISASA KUZIDI DAR ES SALAAM.
UNLESS UWE MASIKINI UKAISHIA TANDALE.
Nenda Kijichi,Kigamboni Somangira,Masaki,Mikocheni,Oysterbay,Msasani uone maisha ya kitajiri ni nini.
 
bado mbu. Hekaheka za foleni na majotro. Maji ya kisima mara ya kununua, mji wa hovyo sana, very overrated. Dar is overrated unless hujawahi kwenda kwenye majiji ya kisasa.
Joto kero
Mvua kero
Mlundikano wa watu kero
Slums kero
Maisha magumu kero
Mafuriko kero
Uchafu na harufu Kila mahala kero
Kipindupindu kero

Yaani kuishi Dar ni kama.jehanamu.hasa.kwa.mtu ambae hana uhakika wa Maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…