Tanzania hakuna Jiji la kisasa kuzid Dar es Salaam!? Bro be Serious nyie watu wa Dar wengi hamna exposures rekebisha statement yko iwe Tanzania hakuna Jiji kubwa kuzd Dar es Salaam, sio Jiji la kisasa.... Dar isn't well organized at all.Hakuna mj
Hakuna sehemu ilokosa mbu.
Kila sehemu ina mbu.
TANZANIA HAKUNA JIJI LA KISASA KUZIDI DAR ES SALAAM.
UNLESS UWE MASIKINI UKAISHIA TANDALE.
Nenda Kijichi,Kigamboni Somangira,Masaki,Mikocheni,Oysterbay,Msasani uone maisha ya kitajiri ni nini.
Wewe kima,80% mnaishi.kwenye mabanda huko chanika,gomz,tandika,Vingunguti,Banana,,mbagala nk nk.Halafu kuna mapopoma wanakwambia "Dar is overrated".
Hii ni Kigamboni peke yake eneo lenye kila aina ya life standard depending on you earning level.
Huna pesa utakaa Vijibweni laa sivyo unayo pesa jitokomeze Mwongozo,Kisota,Dege, n.k n.k
Ukihisi uchovu wajisogeza baharini kula upepo.
Mind you watu wanaolalamika "Dar joto" Kigamboni kuna uoto mwingi wa asili unaochagizwa kupooza hali ya hewa kuwa optimal bimaana hakuna joto la hivyo.
Hayo yote makazi ya watu.
Unafikia Tandale pesa huna UNALALAMIKA DAR MBOVU!?
Tafuta hela hakuna maji ya bure.View attachment 2985674View attachment 2985675
Wengi hao ni nyumbu na hata hawajielewi na hawaijui hii Nchi,wamekariri maisha.Tanzania hakuna Jiji la kisasa kuzid Dar es Salaam!? Bro be Serious nyie watu wa Dar wengi hamna exposures rekebisha statement yko iwe Tanzania hakuna Jiji kubwa kuzd Dar es Salaam, sio Jiji la kisasa.... Dar isn't well organized at all.
Utoe Makao Makuu? Au unadhani Dodoma ni sawa na huko kwenu Nyarugusu? π€£π€£Dodoma itoe kwenye hii orodha plz,
Hakuna jiji la kisasa kulizidi Dar.Tanzania hakuna Jiji la kisasa kuzid Dar es Salaam!? Bro be Serious nyie watu wa Dar wengi hamna exposures rekebisha statement yko iwe Tanzania hakuna Jiji kubwa kuzd Dar es Salaam, sio Jiji la kisasa.... Dar isn't well organized at all.
[/QUOTE]Hakuna jiji la kisasa kulizidi Dar.
Nitajie mji Tanzania tofauti na Dar wenye critical transportation infrastructure kama rapid transit,city train,modern cable bridges,flyovers/interchanges,skyscrapers.
Nitajie mji wenye hizo sifa.
Dar es salaam kuna maeneo yako disorganized na yapo ambayo well organized.
Na sababu ya baadhi ya maeneo kuwa disorganized ni kwasababu ya ukongwe wake ila sasa hivi miji hubadilishwa mzee.
Mathalani Kigamboni 80% inajengwa kimipango miji.
Sidhani kama TANZANIA KUNA USHUANI kuzidi Obay,Masaki,Mikocheni,Kijitonyama na Msasani.
Utake usitake Dar is the most modern city in Tanzania.
You are confusing between city modernity and city organization.No man I'm against you on this matter, If yuh had have ever Visited Dodoma then you've got the truth about which is the Modern city in Tz ,Moshi town is also well organized than Dar ,Go visit Iringa as well you'll come here with your mindset changed.
Dar es Salaam is the biggest city in Tz but not well organized.

AYou are confusing between city modernity and city organization.
Bro a modern city worldwide must have these characteristics;
1)Skyscrapers.
2)Flyovers/interchanges.
3)Well organized transportations.
Je hiyo Iringa ina hivi vitu!?
Dodoma nimefika ni kama Temeke tu.
Arusha nimefika ikapambane na Mwanza but Iringa bado.
Usisahau kunijibu kuhusu hapo juu.
About city organisation nilikujibu bro katika mkoa wenye miji mikongwe Dar ni wakwanza,tushukuru mikoa mingine mathalan kama Dodoma imejengeka kipindi hiki ambacho kuna upembuzi wa mipango miji.
Temeke,Buguruni na kwingineko kuwa na shunty town ni kwasababu ya ukongwe wake pili ongezeko la watu.
Ila haimaanishi kuwa Dar it lacks well organized towns.
Ila Dar yapo maeneo ambayo yako well organized kuliko huko kote ulipopataja mathalan Kigamboni,Oysterbay,Masaki,Mikocheni,Kijichi,Kijitonyama,Mbezi beach,Ununio,Mbweni.
Haya ni maeneo ambayo yako well organised hapa TANZANIAWIDE.
Unapopataja nimefika mzee kasoro Iringa.
Unauitaje mji wa kisasa hauna hata skyscraper my foot!?
Are you serious!?
Roughly Nigger π I got your point and thanks you explain everything so much well ila kuna namna unatakiwa ujue not every modern city must have got what you call Skyscrapers, there are so many cities worldwide with no what you call Skyscrapers na bado ni majiji ya kisasa, And I'm really sure ukimchukua mtu yyte umlete Dodoma azunguke na aende Dar bas atakuambia mji upi upo well organized.A
You are confusing between city modernity and city organization.
Bro a modern city worldwide must have these characteristics;
1)Skyscrapers.
2)Flyovers/interchanges.
3)Well organized transportations.
Je hiyo Iringa ina hivi vitu!?
Dodoma nimefika ni kama Temeke tu.
Arusha nimefika ikapambane na Mwanza but Iringa bado.
Usisahau kunijibu kuhusu hapo juu.
About city organisation nilikujibu bro katika mkoa wenye miji mikongwe Dar ni wakwanza,tushukuru mikoa mingine mathalan kama Dodoma imejengeka kipindi hiki ambacho kuna upembuzi wa mipango miji.
Temeke,Buguruni na kwingineko kuwa na shunty town ni kwasababu ya ukongwe wake pili ongezeko la watu.
Ila haimaanishi kuwa Dar it lacks well organized towns.
Ila Dar yapo maeneo ambayo yako well organized kuliko huko kote ulipopataja mathalan Kigamboni,Oysterbay,Masaki,Mikocheni,Kijichi,Kijitonyama,Mbezi beach,Ununio,Mbweni.
Haya ni maeneo ambayo yako well organised hapa TANZANIAWIDE.
Unapopataja nimefika mzee kasoro Iringa.
Unauitaje mji wa kisasa hauna hata skyscraper my foot!?
Are you serious!?
Mkoa gani Tanzania una watu wanaokufa njaa??Takribani watu millioni 6 wapo hapo, na hakuna anayekufa njaa....
Kujituma kwako tu.
Kwa kuwa well organized mkoa wa kwanza nachagua Tanga kesha Mwanza.Roughly Nigger π I got your point and thanks you explain everything so much well ila kuna namna unatakiwa ujue not every modern city must have got what you call Skyscrapers, there are so many cities worldwide with no what you call Skyscrapers na bado ni majiji ya kisasa, And I'm really sure ukimchukua mtu yyte umlete Dodoma azunguke na aende Dar bas atakuambia mji upi upo well organized.
Dodoma.Mkoa gani Tanzania una watu wanaokufa njaa??
Dodoma yote???Dodoma.
Wanateseka njaa karibia na kufa njaa.
Hapana dada maeneo ya rural.Dodoma yote???
Hata Dar es salaam wapoHapana dada maeneo ya rural.
Ila anaelalama njaa Dar si sawa na anayelalama njaa Laikani mkuu.Hata Dar es salaam wapo
Na mikoa yote kuna watu wanaishi hivyo mkuu
Lindi katika kila watu kumi Saba Ni washirikina au wanaendekeza nguvu za Giza.Lindi je? Na Singida unaionaje