MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,882
- 5,896
🐒10: Kagera
9: Geita
8: Mara
7: Mwanza
6: Katavi
5: Laboratory
4: Simiyu
3: Shinyanga
2: Kigoma
1: Rukwa
Maoni yangu
1: Kanda ya ziwa yote ni masikini kuliko hatwas wawili. Kusin kwa waswahili.
2: Mikoa ambayo kuna watu wenye nguvu za kujituma na hata katavi na rukwa wamejaa was ukurasa ambao wanapiga kazi kwelikweli lakini ndio masikini.
3: Mikoa ambayo kuna rasilimali nyingi, madini, samaki, maeneo ya kilimo ndio masikini kabisa.
Hii maana yake nini wakuu?
Akitoa majibu,nitakuja kuhani msiba huo.Mkuu hii takwimu umeitoa wapi na inatumia vigezo gani.?
Maana hafi Laboratory nayo umeweka kama Mkoa.
Anatetemeka mikono kama weweMkuu hii takwimu umeitoa wapi na inatumia vigezo gani.?
Maana hafi Laboratory nayo umeweka kama Mkoa.
Tuhitimishe kwa kuelewana kwamba,Tanga ni matajiri(hakuna ombaomba wala masikini),sivyo?Tanga huwezi kuikuta. Hata omba omba utawakuta Dar, Morogoro, Iringa, Dodoma, nk. Tanga yote huwezi kumkuta mtu amekaa barbarani anaomba! Kwetu hiyo ni dharau kubwa familia.
Hapana! Usiseme hivyo. Tanga ina wananchi wa kawaida sana wanaopenda kujipambania wenyewe. Sawa?Tuhitimishe kwa kuelewana kwamba,Tanga ni matajiri(hakuna ombaomba wala masikini),sivyo?
Basi,yapasa kugeuza mitazamo ya wasio ishi au kuifahamu Tanga.Wengi huwa na kuamini kwamba wakazi/wenyeji wa Tanga ni wavivu kuamka na katika kazi,wanapenda kujipumzisha muda mwingi/wavivu,wanapenda ushirikina na waswahiliswahili/maneno mengi yasiyo na tija.Hapana! Usiseme hivyo. Tanga ina wananchi wa kawaida sana wanaopenda kujipambania wenyewe. Sawa?
Shida ya watu wengi wakisikia neno Tanga, taswira inayokuja ni ile ya Tanga mjini. Kumbe Tanga kama Mkoa ina Wilaya na mchanganyiko wa makabilaBasi,yapasa kugeuza mitazamo ya wasio ishi au kuifahamu Tanga.Wengi huwa na kuamini kwamba wakazi/wenyeji wa Tanga ni wavivu kuamka na katika kazi,wanapenda kujipumzisha muda mwingi/wavivu,wanapenda ushirikina na waswahiliswahili/maneno mengi yasiyo na tija.
Hiyo Laboratory ni Mkoa wa Kusini Pemba. Huko nasikia watu wanakunywa tu urojo na kucheza bao kuanzia asubuhi mpaka jioni.Mkuu hii takwimu umeitoa wapi na inatumia vigezo gani.?
Maana hadi Laboratory nayo umeweka kama Mkoa.
Kama unataka kuwaona ombaomba Tanga nenda ijumaa anzia Ngamiani mpaka BomboTanga huwezi kuikuta. Hata omba omba utawakuta Dar, Morogoro, Iringa, Dodoma, nk. Tanga yote huwezi kumkuta mtu amekaa barbarani anaomba! Kwetu hiyo ni dharau kubwa familia.
Wewe uliwahi muona msambaa ombaomba wapi?Hapana! Usiseme hivyo. Tanga ina wananchi wa kawaida sana wanaopenda kujipambania wenyewe. Sawa?
Nimekaa Pemba, huko kuna wakulima wengi wa karafuu, na Pemba ni wafanyakazi zaidi kuliko Zanzibar.Hiyo Laboratory ni Mkoa wa Kusini Pemba. Huko nasikia watu wanakunywa tu urojo na kucheza bao kuanzia asubuhi mpaka jioni.
Laboratory. Nimeitoa instagram chanzo kinasema source yake ni NBS. Nikashangaa mbona umasikini umeelemea upande mmoja tu.Mkuu hii takwimu umeitoa wapi na inatumia vigezo gani.?
Maana hadi Laboratory nayo umeweka kama Mkoa.