Bora Pwani haipo10: Kagera
9: Geita
8: Mara
7: Mwanza
6: Katavi
5: Tqbora
4: Simiyu
3: Shinyanga
2: Kigoma
1: Rukwa
Maoni yangu
1: Kanda ya ziwa yote ni masikini kuliko hatwas wawili. Kusin kwa waswahili.
2: Mikoa ambayo kuna watu wenye nguvu za kujituma na hata katavi na rukwa wamejaa was ukurasa ambao wanapiga kazi kwelikweli lakini ndio masikini.
3: Mikoa ambayo kuna rasilimali nyingi, madini, samaki, maeneo ya kilimo ndio masikini kabisa.
Hii maana yake nini wakuu?
Wapo ila wanafanya target wala hawazunguki kwa vile wanapewa pesa na wauza maduka na misikiti , wana vituo kabisa . Hwazunguki .Kama unataka kuwaona ombaomba Tanga nenda ijumaa anzia Ngamiani mpaka Bombo
Hakika kanda ya ziwa maisha ghali sanaUmaskini wa kanda ya ziwa unatokana na gharama za maisha ya huko , huku kwetu buku 10 unakula na familia ial kanda ya ziwa kila kitu gharama . Huku kuna samaki ila haugusi , samaki size ya kawaida tu unaambiwa ni buku 10.
Huku maisha yako juu sana sio kwamba hawana pesa kabisa , huku kwetu ukiambiwa mtu ni maskini basi hana hata elfu kwa siku . Maisha ya bara yako juu sana .
Ya kweli hayaUmaskini wa kanda ya ziwa unatokana na gharama za maisha ya huko , huku kwetu buku 10 unakula na familia ial kanda ya ziwa kila kitu gharama . Huku kuna samaki ila haugusi , samaki size ya kawaida tu unaambiwa ni buku 10.
Huku maisha yako juu sana sio kwamba hawana pesa kabisa , huku kwetu ukiambiwa mtu ni maskini basi hana hata elfu kwa siku . Maisha ya bara yako juu sana .
Mbona Dar haipo na ndio inaongoza kwa umaskini according to watu wa mikoani wa JF?10: Kagera
9: Geita
8: Mara
7: Mwanza
6: Katavi
5: Tqbora
4: Simiyu
3: Shinyanga
2: Kigoma
1: Rukwa
Maoni yangu
1: Kanda ya ziwa yote ni masikini kuliko hatwas wawili. Kusin kwa waswahili.
2: Mikoa ambayo kuna watu wenye nguvu za kujituma na hata katavi na rukwa wamejaa was ukurasa ambao wanapiga kazi kwelikweli lakini ndio masikini.
3: Mikoa ambayo kuna rasilimali nyingi, madini, samaki, maeneo ya kilimo ndio masikini kabisa.
Hii maana yake nini wakuu?
Makebo Jagina na Tanganian wanajua sababu.10: Kagera
9: Geita
8: Mara
7: Mwanza
6: Katavi
5: Tqbora
4: Simiyu
3: Shinyanga
2: Kigoma
1: Rukwa
Maoni yangu
1: Kanda ya ziwa yote ni masikini kuliko hatwas wawili. Kusin kwa waswahili.
2: Mikoa ambayo kuna watu wenye nguvu za kujituma na hata katavi na rukwa wamejaa was ukurasa ambao wanapiga kazi kwelikweli lakini ndio masikini.
3: Mikoa ambayo kuna rasilimali nyingi, madini, samaki, maeneo ya kilimo ndio masikini kabisa.
Hii maana yake nini wakuu?
Hana takwimu ametoa kichwani mwakeMkuu hii takwimu umeitoa wapi na inatumia vigezo gani.?
Maana hadi Laboratory nayo umeweka kama Mkoa.
Mfumo pesa ni tatizo , Dodoma ilikuwepo sasa ila imetoka ..Sio kwamba watu hawafanyi kazi ila huko pesa hakuna na maisha yko juu sana.Siku ambapo wazaliwa wa Kigoma waliopo mikoa mingine mfano Dar, Moro, Dodoma ... watakapoanza kurejea makwao na kuendeleza maeneo yao ndipo maendeleo yataonekana zaidi ya ilivyo sasa
Shahidi: Waheshimiwa Majaji tangu nizaliwe sijawahi kumuona Msambaa omba omba.Wewe uliwahi muona msambaa ombaomba wapi?
Kwa hivyo omba omba ni dharau kwa familia na ushoga ni nini maana tanga mashoga wapo wengi na waliwahi kunitongoza mbwa waleTanga huwezi kuikuta. Hata omba omba utawakuta Dar, Morogoro, Iringa, Dodoma, nk. Tanga yote huwezi kumkuta mtu amekaa barbarani anaomba! Kwetu hiyo ni dharau kubwa familia.
umesahau kuweka Arusha na Dodoma.10: Kagera
9: Geita
8: Mara
7: Mwanza
6: Katavi
5: Tqbora
4: Simiyu
3: Shinyanga
2: Kigoma
1: Rukwa
Maoni yangu
1: Kanda ya ziwa yote ni masikini kuliko hatwas wawili. Kusin kwa waswahili.
2: Mikoa ambayo kuna watu wenye nguvu za kujituma na hata katavi na rukwa wamejaa was ukurasa ambao wanapiga kazi kwelikweli lakini ndio masikini.
3: Mikoa ambayo kuna rasilimali nyingi, madini, samaki, maeneo ya kilimo ndio masikini kabisa.
Hii maana yake nini wakuu?
Kama haujaiweka Dodoma hiyo list yako ni batili10: Kagera